zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Mke.wa.kizaramo..."""..Mwaka.ndo.ushaanza.achana.na.mambo.yako.ya.ki.analojia.kutulisha.mchicha.kila.siku....Sasa.hivi.ni.mambo.ya.ki.DIJITALI.TUNATAKA.KUKU.SOSEJI.NA.WALI.KWA.SINDANO.""....mnakazi.mlio.oa.huko
Naona ndo unajikakamua kujifunza kuandika ki dijitali baada ya analogia kuzima, ongeza bidii sio mbaya sana
Sema.mr.Manoah?ile.gari.yako.Karagwe.kule.umeipata.
Kwi.kw.i.kw.kw.hbr.ya.mwaka.mr.chimbuvu.
Imepatikana kaka zubedayo_mchuzi sasa ivi nataka ni ninunue nyingine kwa ajiri ya mama yangu kipenzi @gfwinson
heee kwanza tupo kwenye maombolezo ya mzaramo mwenzetu OMYOMY mzee wa kupata majaliwa mungu amlaze mahali pema...
Hyo.itakuwa.njema.sana.huyo.mama.alitakiwa.awe.first.lady.mchapakazi.kote.kote.
Ila tayali kuna Bentley yake inakuja, ipo njiani
Itapokewa.na.ving'ora.hyo
Tuwapende wa mama zetu na tuwajali. Hawa wazalamo nawaangaliaga tu
Umeona.sound.zao.hapo.juu.,hamna.kitu.
Sound butu hazina meno!