Wanawake wa Kitanzania nao waongeza safari za Afrika Kusini kufanya plastic surgery

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
310xNxkimbooty1.jpg.pagespeed.ic.PXu_jJiWUS.webp
wpid-battle-of-the-asses.jpg.jpeg

Kwa mujibu wa gazeti la Sunday Times la Afrika Kusini, wanawake wa Kitanzania nao wameongeza safari zao za kwenda Afrika kusini kufanya
plastic surgeries ili nao wawe na maumbo kama matiti ya Kim Kardashian, t.a.k.o la Jennifer Lopez na tumbo kama la Jessica Alba. Tripu hizi zinazojulikana kwa jina maarufu kama "plastic surgery safaris" zinagharibu karibia Randi 100,000 za Afrika Kusini kuweka kontua mbalimbali kwenye miili ya wanawake hao.

Maagenti wanao-specialize kwenye safari hizi za matibabu (medical safaris) wanadai kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watalii kutoka Tanzania wanaokwenda Afrika Kusini kwa nia ya kufanya surgeries za kuongeza matiti, kubana tumbo na kupunguza nyamanyama kutoka sehemu mbalimbali za mwili. Nchi nyingine ni pamoja na
Zambia, Ghana, Kenya, Nigeria na Angola.

Moja ya madaktari wanaofanya plastic surgery hizo, Dkt. Chetan Patel anasema kuwa surgeries za kupunguza, kuongeza na kupandisha matiti zimekuwa maarufu hasa kwa wanawake kutoka Msumbiji na Angola. Operesheni za k
upunguza nyamanyama kutoka sehemu mbalimbali za mwili na pia kuongeza ukubwa wa m.a.t.a.k.o nazo zimekuwa maarufu kwa wanawake wengi wa Kiafrika.

Dkt Patel anadai kuwa kwa tamaduni za Kiafrika mwonekano wa mwili ni muhimu zaidi kiuzuri kuliko mwonekano wa sura. Anasema kwa kawaida, Waafrika wana uzuri wa sura kulinganisha na wazungu; kwa hiyo operesheni za kubadilisha sura kama kuongeza lips siyo maarufu sana kwa wanawake wa Kiafrika.

Aidha Dkt Patel amesema kuwa amepokea maombi mengine kutoka kwa wanawake wa Kiafrika wanaotaka kuwa na maumbo kama ya akina Jeniffer
Lopez na Kim Kardashian. Amesema siku hizi plastic surgery siyo tuu kwa tamaduni za ng'ambo. Anasema siku hizi Waafrika wengi wamekuwa exposed na media na yale yanaoyendelea sehemu mbalimbali za dunia Hollywood. Pia kuongezeka kwa kipato, kumewafanya Waafrika wengine kuwa na maisha ya luxury ambayo walikuwa hawajawhi hata kuyafikiria.

Dkt Paul Skoll wa Cape amesema kuwa nae ameshughudia kuwepo kwa ongezeko kubwa la wanawake wa Kiafrika kutoka nchi kama Msumbiji na Angoka, wengi wao wakitaka kufanyiwa operesheni za matiti,
kupunguza nyamanyama kutoka sehemu mbalimbali za mwili na kuongeza ukubwa wa makalio. Amesema amepokea maombi kufanya operesheni inayoenda kwa jina la "Brazilian butt lifts" kuwa na mwonekano kama wa Kim Kardashian, Jeniffer Lopez au Nicki Minaj.

Lorraine Melvill, ambaye ni meneja wa Surgeon and Safari, (agency inayoandaa safari za plastic surgery) amesema wengi wa wateja wake wanatoka Zambia na wengi wao huwa wanata kuongeza ukubwa wa m.a.t.a.k.o yao. Amesema wanapokea maombi mengi, lakini mengi yao siyo realistic kihivyo. Melvill amesema zaidi ya asilimia 90 ya wateja wake wanatoka kusini mwa jangwa la Sahara zikiwemo chini kama Tanzania, Zimbabwe, Botswana na Angola.

Aidha amesema operesheni za matiti, kupunguza nyamanyama kutoka sehemu mbalimbali za mwili na kubana tumbo zimekuwa maarfufu kwa wanawake walio chini ya umri wa miaka 30 wakati operesheni za kupandisha uso, operesheni za macho na kurekebisha mwonekano wa kinywa hasa meno zilikuwa maarufu kwa wanawake walio na umri wa zaidi ya miaka 50. Ameongeza kuwa wateja wake wanalipa kati ya Randi 4400 hadi 77000 kwa operesheni. Malazi ni kwenye hoteli zenye hadhi ya four-stars ambazo zinagharimu kati ya Randi 13000 kwa package ya siku saba na randi 19000 kwa package ya siku 12.

Denise Milner wa Surgical Bliss ambayo ni medical agency iliyo jijini Cape Town amesema kuwa wateja wake wengi wanatokea Tanzania, Kenya, Angola na Nigeria. Amesema wengi wao wanataka wafanyiwe operesheni za kuongeza matiti, kubana tumbo na kupunguza nyamanyama kutoka sehemu mbalimbali za mwili.

Amesema wateja wake wa Kiafrika huwa wanatumia kati ya Randi 40,000 na 100,000 kufanya operesheni hizo. Wakati mwingine inabidi wafanye operesheni mbili kwa trip moja. Malazi ni kwenye
luxury hotels au apartments. Amesema wateja wake hawatumii muda wote wa wiki mbili wakiwa wamelala kwenye vitanda vya hospitali, maana wengine wanaenda kufanya shopping na kula nje. Ameongeza, wale ambao wanazo wananunua diamonds, lakini wengine wananunua pia nguo, handbags na viatu na kurudi makwao siyo tuu na mabegi yaliojaa, bali pia na mwonekano mpya wa miili yao.

Women from other parts of Africa are turning to local plastic surgeons for Kim Kardashian breasts, Jennifer Lopez derrières and Jessica Alba washboard tummies.

Plastic surgery safaris to South Africa are no longer the exclusive preserve of wealthy Americans and Europeans, and the beauty-conscious from elsewhere on the continent fork out up to R100000 for their body contouring "holiday".

Agencies specialising in medical safaris have seen a surge in the number of visitors from countries such as Tanzania, Zambia, Ghana, Kenya, Nigeria and Angola seeking breast enhancement procedures, tummy tucks and liposuction.

They are also known to use their recuperation time to shop for clothing, shoes, handbags, furniture and diamonds.

Sandton plastic and reconstructive surgeon Dr Chetan Patel said breast reductions, augmentations and lifts were popular with clients from Mozambique and Angola. Liposuction and buttock augmentation were also in demand.

"Body shape in African culture is generally regarded as more important in terms of beauty than facial beauty is," said Patel.

"African people in general have far better facial skin than Caucasians and therefore facial surgery, Botox and fillers are far less sought-after."

He has had many requests for bottoms like those of Lopez and Kardashian. "One has to assess the request and the expectations of the patients and match this with the examination of their bodies to see if it is achievable."

Patel said plastic surgery was no longer regarded as the preserve of Western culture. "As more African people are exposed to media and the burgeoning influence of Hollywood, so their wish to emulate such culture has proportionately increased.

"Coupled with an increase in disposable income ... African people are opting for some of the luxuries that they would not have thought about."

Cape Town plastic surgeon Dr Paul Skoll said he was also seeing an increase in patients from Angola and Mozambique, with many of them seeking breast surgery, liposuction and tummy tucks.

He said he often received requests for Brazilian butt lifts to achieve the Kardashian, Lopez or Nicki Minaj look.

Skoll said he charged according to the requirements of each case.

Lorraine Melvill, head of Surgeon and Safari, an agency that arranges medical visits to South Africa, said most of her clients were from Zambia and many of them wanted buttock augmentations.

"We receive many requests, but they are not always realistic. The surgeon can only work with the 'canvas' he has and everyone's canvas is different."

Melvill said 90% of her business came from sub-Saharan Africa and included clients from Zimbabwe, Botswana and Angola.

She said breast procedures, liposuction and tummy tucks were popular among women younger than 30, and facelifts and eye surgery, as well as cosmetic dentistry, were in demand among women over the age of 50.

They pay anything between R4400 to R77000 for procedures. Accommodation at a four-star Cape Town guesthouse can cost R13000 for a seven-day package and R19000 for a 12-day stay.

"Most clients travelling from Africa also use the opportunity to shop," said Melvill.

"Some have invested in property, mainly in Johannesburg. Our Africa clients usually go for consumables like furniture."

Denise Milner of Surgical Bliss, a medical agency in Cape Town, said the bulk of her business came from Angola, Tanzania, Kenya and Nigeria.

"Africans don't usually go for facelifts. They want breast procedures, liposuction and tummy tucks," said Milner, who also arranges fertility treatments.

She said her African clients spent between R40000 and R100000 on procedures - sometimes two per trip - and accommodation, usually at luxury hotels or apartments. "They don't spend the entire two weeks they are here in a hospital bed. They're into shopping and eating out."

The superrich splurge on diamonds but others buy clothes, handbags and shoes, often returning home with extra luggage as well as their new look.

Source
: timeslive

http://www.timeslive.co.za/lifestyl...o-south-africa-for-bigger-boobs-butts-surgery
 
yaani kuna kipindi kiko E!wanaonyesha kinaitwa botched na kingine dk.9210km sikosei jamani fanyeni tu yani mtu akitoka pale ni mgonjwa hata kukaa hawezi
akkaaah!siwezi jamai
 
310xNxkimbooty1.jpg.pagespeed.ic.PXu_jJiWUS.webp
wpid-battle-of-the-asses.jpg.jpeg

Kwa mujibu wa gazeti la Sunday Times la Afrika Kusini, wanawake wa Kitanzania nao wameongeza safari zao za kwenda Afrika kusini kufanya
plastic surgeries ili nao wawe na maumbo kama matiti ya Kim Kardashian, t.a.k.o la Jennifer Lopez na tumbo kama la Jessica Alba. Tripu hizi zinazojulikana kwa jina maarufu kama "plastic surgery safaris" zinagharibu karibia Randi 100,000 za Afrika Kusini kuweka kontua mbalimbali kwenye miili ya wanawake hao.

Maagenti wanao-specialize kwenye safari hizi za matibabu (medical safaris) wanadai kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watalii kutoka Tanzania wanaokwenda Afrika Kusini kwa nia ya kufanya surgeries za kuongeza matiti, kubana tumbo na kupunguza nyamanyama kutoka sehemu mbalimbali za mwili. Nchi nyingine ni pamoja na
Zambia, Ghana, Kenya, Nigeria na Angola.

Moja ya madaktari wanaofanya plastic surgery hizo, Dkt. Chetan Patel anasema kuwa surgeries za kupunguza, kuongeza na kupandisha matiti zimekuwa maarufu hasa kwa wanawake kutoka Msumbiji na Angola. Operesheni za k
upunguza nyamanyama kutoka sehemu mbalimbali za mwili na pia kuongeza ukubwa wa m.a.t.a.k.o nazo zimekuwa maarufu kwa wanawake wengi wa Kiafrika.

Dkt Patel anadai kuwa kwa tamaduni za Kiafrika mwonekano wa mwili ni muhimu zaidi kiuzuri kuliko mwonekano wa sura. Anasema kwa kawaida, Waafrika wana uzuri wa sura kulinganisha na wazungu; kwa hiyo operesheni za kubadilisha sura kama kuongeza lips siyo maarufu sana kwa wanawake wa Kiafrika.

Aidha Dkt Patel amesema kuwa amepokea maombi mengine kutoka kwa wanawake wa Kiafrika wanaotaka kuwa na maumbo kama ya akina Jeniffer
Lopez na Kim Kardashian. Amesema siku hizi plastic surgery siyo tuu kwa tamaduni za ng'ambo. Anasema siku hizi Waafrika wengi wamekuwa exposed na media na yale yanaoyendelea sehemu mbalimbali za dunia Hollywood. Pia kuongezeka kwa kipato, kumewafanya Waafrika wengine kuwa na maisha ya luxury ambayo walikuwa hawajawhi hata kuyafikiria.

Dkt Paul Skoll wa Cape amesema kuwa nae ameshughudia kuwepo kwa ongezeko kubwa la wanawake wa Kiafrika kutoka nchi kama Msumbiji na Angoka, wengi wao wakitaka kufanyiwa operesheni za matiti,
kupunguza nyamanyama kutoka sehemu mbalimbali za mwili na kuongeza ukubwa wa makalio. Amesema amepokea maombi kufanya operesheni inayoenda kwa jina la "Brazilian butt lifts" kuwa na mwonekano kama wa Kim Kardashian, Jeniffer Lopez au Nicki Minaj.

Lorraine Melvill, ambaye ni meneja wa Surgeon and Safari, (agency inayoandaa safari za plastic surgery) amesema wengi wa wateja wake wanatoka Zambia na wengi wao huwa wanata kuongeza ukubwa wa m.a.t.a.k.o yao. Amesema wanapokea maombi mengi, lakini mengi yao siyo realistic kihivyo. Melvill amesema zaidi ya asilimia 90 ya wateja wake wanatoka kusini mwa jangwa la Sahara zikiwemo chini kama Tanzania, Zimbabwe, Botswana na Angola.

Aidha amesema operesheni za matiti, kupunguza nyamanyama kutoka sehemu mbalimbali za mwili na kubana tumbo zimekuwa maarfufu kwa wanawake walio chini ya umri wa miaka 30 wakati operesheni za kupandisha uso, operesheni za macho na kurekebisha mwonekano wa kinywa hasa meno zilikuwa maarufu kwa wanawake walio na umri wa zaidi ya miaka 50. Ameongeza kuwa wateja wake wanalipa kati ya Randi 4400 hadi 77000 kwa operesheni. Malazi ni kwenye hoteli zenye hadhi ya four-stars ambazo zinagharimu kati ya Randi 13000 kwa package ya siku saba na randi 19000 kwa package ya siku 12.

Denise Milner wa Surgical Bliss ambayo ni medical agency iliyo jijini Cape Town amesema kuwa wateja wake wengi wanatokea Tanzania, Kenya, Angola na Nigeria. Amesema wengi wao wanataka wafanyiwe operesheni za kuongeza matiti, kubana tumbo na kupunguza nyamanyama kutoka sehemu mbalimbali za mwili.

Amesema wateja wake wa Kiafrika huwa wanatumia kati ya Randi 40,000 na 100,000 kufanya operesheni hizo. Wakati mwingine inabidi wafanye operesheni mbili kwa trip moja. Malazi ni kwenye
luxury hotels au apartments. Amesema wateja wake hawatumii muda wote wa wiki mbili wakiwa wamelala kwenye vitanda vya hospitali, maana wengine wanaenda kufanya shopping na kula nje. Ameongeza, wale ambao wanazo wananunua diamonds, lakini wengine wananunua pia nguo, handbags na viatu na kurudi makwao siyo tuu na mabegi yaliojaa, bali pia na mwonekano mpya wa miili yao.

Source
: timeslive

Africans flocking to South Africa for bigger boobs, butts surgery - Times LIVE

Kunenepesha dushe imo ?
 
kwi kwi kwi kwi kwi south korea nako imekua ni tatizo kubwa kwani wamejitokeza ma dokta kanjanja wanawaachia wadada ulemavu sana,huku south korea wadada wanahangaika kubadili sura na wengi wanakufa
 
operesheni za
matiti, kupunguza nyamanyama
kutoka sehemu mbalimbali za mwili
na kubana tumbo zimekuwa
maarfufu kwa wanawake walio chini
ya umri wa miaka 30 wakati
operesheni za kupandisha uso,
operesheni za macho na
kurekebisha mwonekano wa kinywa
hasa meno zilikuwa maarufu kwa
wanawake walio na umri wa zaidi ya
miaka 50.

"Nitatizo! Wanawake wetu wengi wa kibongo' hawawezi kuepuka kula ovyo ovyo bila mpangilio, ndiyo maana wananenepa na kuvimbiana hasa maeneo ya kuanzia kifuani hadi makalioni...!
 
Kuna upotoshaji wa habari hapa....sio operesheni zote ni mbaya na sio zote ni plastic surgery....kupandisha matiti iko very safe...na kupunguza nyama za unene iko very safe... Kila mwanamke mwenye kujimudu nashauri apandishe matiti cc Nyani Ngabu..
 
Last edited by a moderator:
Fanyeni tu. Miili yenyewe hii udongo tu. Mtaiacha mavumbini. Ni sawa na kuchonga fanicha, ila ikifika mwisho usilalame...
 
Hii kitu ni hatari ukiwa angani

[h=2]The Russian woman whose breast implants exploded during a flight
[/h]
a97645_g133_8-air-exploded2.jpg

A 45-year-old Russian woman found herself in need of medical treatment when her F-cup implants burst on an Aeroflot flight from Moscow to Los Angeles. Irena D's (as her name has been reported by the Russian press) ailment was not immediately obvious to doctors when she collapsed at LA airport but after a thorough examination they were soon abreast of the situation. Irena D has since had the implants removed and has been warned of the potential health consequences of further breast augmentation.(Source)
 
Afadhali..........Hebu nipe bei ya tumbo kama la Nick Minaj.........maana huu mtambi nilio nao.........ushanchosha..........

Piga tizi, kula fresh unaweza kulipata. Long process though.
 
Mazoezi mwili unauma bana........kula fresh ni pamoja na mdudu endsam.......?

Of course, siku za mwanzo mwili utauma sana, but later it will get used to the routine of exercising.

Kula fresh I mean kabla ya kutia mdomoni ask yourself kwa nini unakila?

Usikile tuu kwa sababu ni kitamu sana au kinashuka kiulani kwenye koo.

Kula/kunywa kama unavyokula/kunywa dawa.

Vyakula vingine vichungu kama klorokwini lakini vinasaidia kutibu tumbo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom