dickdickinyo
Senior Member
- May 19, 2015
- 118
- 53
Nimebahatika kuoa mtoto wa kitanga.mapenzi ninayopewa acheni jamani.wanajua nyakati za shida na raha.Oeni Tanga jamani mufurahie maisha.
Nimebahatika kuoa mtoto wa kitanga.mapenzi ninayopewa acheni jamani.wanajua nyakati za shida na raha.Oeni Tanga jamani mufurahie maisha.
Shukuru mungu hujaokota taka taka za kidigo aka mizigo!
Mkata mkaa ila sharobaro uko deep
Siamini. Niazime siku mojaNimebahatika kuoa mtoto wa kitanga.mapenzi ninayopewa acheni jamani.wanajua nyakati za shida na raha.Oeni Tanga jamani mufurahie maisha.
Uncle B mzee wa travolta 😂😂😂 how have u been ankal!
Hahahaha can't complain man ve been better ...how are you ?
Naona unawaonea shemeji zangu dah
Nimebahatika kuoa mtoto wa kitanga.mapenzi ninayopewa acheni jamani.wanajua nyakati za shida na raha.Oeni Tanga jamani mufurahie maisha.
Hahaha,dont take it serious bhana..travolta za valiwa ngerengere au 521KJ, 511KJ, KU ama wapi?😂
Mi nimeoa Mmeru jamani..... Ananipenda mpaka anaumwa........ Naenjoy kuanae