Wanawake wa kinyaturu!

Hahahahaha we jamaa umenichekesha sana
 
Wale wenyewe uelewa na wanawake wakinyaturu waje hapa nawazia nikaoe huko napatikana mkoa wa lindi. Tahadhari kejeli hazihitajiki ukiwa hauna comment pita tu kwenye huu uzi.
Inasemekana akili za wanyaturu wa 5 ni sawa na akili za mnyiramba mmoja!kila la kheri mkuu[emoji23] [emoji23]
 
wanawake wa kinyaturu ni wazuri sana angalia alie lelewa malezi ya kidini..wanajua kuheshimu mume kwelikweli...mi nimeolea huko ni wavumilivu sana..ila short tempad yaani vihasira vya haraka ila vinaisha haraka....wivu sana unakuta ndugu wote wakali kinoma hataki uwasiliane nao...ila wanapenda future nzuri
 
Nimeshagegeda binti wa kinyaturu nilivyokua chuo...
Mpaka kesho bado namtamani.. Hawaishi utamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…