Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
- Thread starter
-
- #41
Sawa bossKaoe2 ndugu kwakua ckuhizi Hatupelekwi Appolo India kazi inamalizwa hpa hpa Mhumbili JKCU, hilo kabila ni zaidi ya maharage ya mbeya hauitaji kua na kuni Gazeti2 ukiwa nalo unaivisha na kula,
Unamaaanisha nini kusema hadi kichwani?Kaoe mkuu. Ila kikubwa ridhika na tabia yake yeye.
Wakwangu yuko vizuri sana hadi kichwani. Ninae tunaelekea mwaka wa 4 wa ndoa sasa.
Anajielewa kichwani na ana akili za maendelo.Unamaaanisha nini kusema hadi kichwani?
Hongera Sana mkuuAnajielewa kichwani na ana akili za maendelo.
Kama unahamu ya kukojoa dagaa badala ya mkojo wa kawaida SawaMkuu ukioa huyo mnyaturu naomba uniambie na mtaa mtakapoishi niwe nawatembelea mara mojamoja.
Bora umemgundua. Nenda tu ukachukue jiko.Jamaa huyu Ana bifu na watu wa lindi nahakikisha nakua shemeji yako
Wanapenda kuliwa sana wazuri ila shida yao ni ya kawaida wivu na wanapend sana sex.Wale wenyewe uelewa na wanawake wakinyaturu waje hapa nawazia nikaoe huko napatikana mkoa wa lindi. Tahadhari kejeli hazihitajiki ukiwa hauna comment pita tu kwenye huu uzi.
Wana nini hawa watu jamani mmhh??!!Very wise comment, ila wanyaturu jamani mmhh.
HahahHizi mada siku hizi zimejaa humu hivi mnaoa kabila au mwanamke
Na upole wote nilionao, nikimwambia mtu mi Mkurya anaanza kuniogopa.Hizi mada siku hizi zimejaa humu hivi mnaoa kabila au mwanamke
Wale wenyewe uelewa na wanawake wakinyaturu waje hapa nawazia nikaoe huko napatikana mkoa wa lindi. Tahadhari kejeli hazihitajiki ukiwa hauna comment pita tu kwenye huu uzi.
Hilo la kukataa kuwa na namba za ndugu ni kweli...Babe wangu Mnyaturu. Nakupa hizi sifa from how I know relatives wake wote.
Ni weupe, wapole na watiifu Sana. Hawalalamiki ovyo, mimi wa kwangu namfanyiaga mpaka testing, namwambia kesho nakupa laki 5, ikifika siku namwambia hali imekuwa mbaya. Wala hakasiriki, sio kama my previous ladies. Anakuambia tumuombe Mungu atafanya wepesi. Hii ni kwa wote, hata ndugu zake wapole.
Ila Sasa!!! Something I noticed ana tabia ya kuzoeana na wanaume... Hehehehe am sure if I look deep mimi ndio mchepuko alafu some guy ndio main dude [emoji1787][emoji23] ananihakikishia mie ndio baba, na mwepesi sana kuomba msamaha hata nikikwazika kwa wivu wakijinga. Kitu kingine, hataki niwe na mawasiliano na ndugu zake, eg cousins wa kike. Anasema watanichukua. So from this inakuonyesha hili kabila kwao kusema No kuzito. So jipange. Anyway ukoo wote mzuri hehehe bora hata anavyobana mawasiliano maana.
Anyway hope unamiliki butcher... Cause wanapenda nyama hatari.
-callmeGhost
Haya ndiyo niliyosema!! Wahuni kama huyu lazima waanzishe genge jirani na kwako! Na kujifanya wanakuheshimu sana kumbe! Wannakusanya data za muda wako wa kutoka na kuingia home!Mkuu ukioa huyo mnyaturu naomba uniambie na mtaa mtakapoishi niwe nawatembelea mara mojamoja.
Mkuu mimi ni raia mwema kabisa.Haya ndiyo niliyosema!! Wahuni kama huyu lazima waanzishe genge jirani na kwako! Na kujifanya wanakuheshimu sana kumbe! Wannakusanya data za muda wako wa kutoka na kuingia home!