Habari wana wa JF,
Mimi naishi hapa dar, nimekutana na wanawake wengi wakinyamwezi, 90% ya wanawake wakinyamwezi wamejazia sana kuliko makabila mengine nilikutana nayo. Huwa najuliza ni asili yao kana kwamba huko tabora wako hivyo au wakitokea huku kwenye chips kuku wa kisasa ndo kumewapa mjazo huu?
Hebu weka picha kwanza nikague!
Haya sasa akina Nyanso, Kadala, Kalunde, Nyanzala, Kasindye, Kapemba, Chellu, Mnyangala..... kazi kwenu.