Wanawake wa kinyalu ni wajeuri sana

Wanawake wa kinyalu ni wajeuri sana

kazikubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
597
Reaction score
151
Kumekuwa na taarifa za siku nyingi kuwa mabinti wa Kinyalu wanapotafuta wachumba huwa wakarimu kupitiliza na si rahisi ukiingia mtegoni kuchomoka hadi ndoa inajibu. Lakini baada ya siku chache hubadilika kiasi cha wewe kuhisi labda wamekubadilishia mke. Tena huwa wabaya zaidi kama atajiweza kujitafutia angalau ugali kwa mlenda kwa siku na chupa moja ya ulanzi.

Sina maana ya kugeneralize lakini nasikia hawa karibu wote. Kati ya mia safi 2 tu, hivyo uwezekano wa ku draw bad card ni 98%, confidence interval 2% only.

Kuna misemo kama bint zetu wa Bukoba ndiyo kama vile, wapare ndio usiseme na Wanyakyusa ndiyo maharage ya nyumbani. Kwa makabila haya si rahisi kugeneralize kwa sababu sio wote. Lakini wanyalu ni hatari kama wanavyodai. Pia, kuna habari kuwa ndoa nyingi zinazoyumba nchini, 98% ni za mke Mnyalu.

Wajuzi tufunueni macho maana na sisi vijana tunataka kuchukua jumla na hapa tulipo wanyalu ndio wengi, tusaidieni.
 
Nilitegemea utaeleza huo ubaya wao, lakini umeishia kusema wanabadilika-basi!
Sema shida yao nn?
Kubadilika ni lazima, humans are not static or rigid, they are subject to changes!
Bado hujanishawishi.
 
Hawana mapenzi ya kweli. Wanataka wawe juu ya waume zao. Hubisha hata kwenye mambo ya msingi sababu tu yeye ndiye aliyetoa hoja. Ndugu zako ndio unakuwa mwisho wa kukutembelea. Hukuingiza kwenye matumizi yasiyo ya lazima kwa sababu tu ameamua na ukimwelimisha hataki anakuona mpinzani. Hii ni hata kama ana Phd.
 
When U Face Choices...
Just toss a coin..
not just because it settles the question,
but while the coin is in d air,
u will know what ur heart is hoping for !!!
 
Hawana mapenzi ya kweli. Wanataka wawe juu ya waume zao. Hubisha hata kwenye mambo ya msingi sababu tu yeye ndiye aliyetoa hoja. Ndugu zako ndio unakuwa mwisho wa kukutembelea. Hukuingiza kwenye matumizi yasiyo ya lazima kwa sababu tu ameamua na ukimwelimisha hataki anakuona mpinzani. Hii ni hata kama ana Phd.
Da naunga mkono hoja % yani utafikiri hizo tabia zote hapa umecopy na kupest toka kwa mke wa kakangu
 
Mtoa mada umepatia sana, niliishi na mhehe nikazaa nae mtoto mwaka 2003, niliishia kubwagana nae kwa tabia ulizoziainisha
 
kwanza wanyalu ndo kabila gani?

Utafiti wako ni wakuokoteza (umbeya ) kwavile mke wako yupo hivyo wewe una chukulia wote mbona wengine wake zao poa tu na mifano kama sita hivi ndoa zina zaidi y miaka 5 zote hakuna tatizo kabisa.
 
wanabadilika sana na wanatabia ya kuweka mambo kama kinyongo hivi so huwez jua ukiwa nae anawaza nini juu yako..na muda mwingi hawajielewi wanataka nini wapo wapo tu
 
Sio kweli ni hulka ya mtu ujeuri na tabia mbaya unaweza kulelewe kwenye familia yenye maadili lakini mpaka unaolewa mume anaona kaoa lulu,baada ya muda mke anabadilika maelezo.
 
nijuacho mimi ni kuwa wanyalu ni wavumilivu sana ila akichoka na manyanyaso huwa akichukua uamuzi habadiliki kamwe,wana tabia ya kuwanyenyekea waume zao kupita kiasi ndio maana nashangaa maelezo yako yanaenda kinyume na tabia za hao wanawake wakinyalu nilizowahi kuzisikia na kushuhudia.
 
Kwa hiyo kabila lipi lina wanawake wazuri? Sijui tafiti zenu mnafanyia wapi maana ndoa ninazozijua mimi za Kunyalu (Ikiwemo yangu) zinaenda kinyume na findings zako. Ngoja tuone wengine watasemaje hapa?
 
kweli wengi wao hawana mapenzi ya kweli ndio maana ndoa zao hazidumu labda waoane wanyalu kwa wanyalu
 
Back
Top Bottom