Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
18,535
Reaction score
20,710
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,

.
Juzi tar 8 tumetoka kuzika Tanga mjini, ni mwanamke wa ki marangu kaua mumewe na bahati nzuri sms ziko zinaonyesha mumewe akilala eti alitaka kumuaa kwa muda mrefu ila mungu tu anamsaidia na kama si watoto wake 2 angempa talaka muda mrefu, na sababu eti anasema ni pesa, sasa hayo ni maneno ya marehemu.

mwezi wa 3 kama sikosei tar 18 hiv, ndugu yetu alie muoa mmarangu wanakaa himo, njia ya kwenda Rombo alipoteza maisha, ila kulikuwa na mgogoro wa mke na mume kwa muda mrefu, na mke wake anasema hajui eti alikuwa na presha, ila alivimba sana tumbo, haya ni ya ukweli. na mwanamke yuko hata halii sanaa, macho makavu msibani. inatisha sana.

.Ktk huu msiba wa tanga kila.mtu tena watu wazee na wanawake wa makamo wakaanza kusema wa marangu hawafai siku hizi kuoa. ukikusanya pesa wanageuka haraka sana, tena wanakutenga na familia yake ya mume, na wanajionyesha watu wa dini hiv. ila ni heri ya wapelestina wamachame kwa sasa. ukizubaa tu wanakumaliza..basi watu kadhaa wakaanza kutoa ushuhuda jinsi hawa wanawake wa marangu walivyo, hadi nikachoka, ila wanaonekana watulivu kwa nje, wee ni kama kobe hao, na wanajiona sana, kujisifu nk.

ni story ndefu za watu wenye heshima zao walitoa ushuhuda. inatisha
 
Sasa si ungesubiri ukishakuwa na huo mkanda full ndio uje ufungue thread!!!!???
 
Kiboko kwa kipi sasa? Of course kama ni watu wasiofaa lazima lisemwe hilo.....Kwangu mimi nimejikuta nawachukia wanawake wote wa kimarangu...deep down my heart
.
Juzi tar 8 tumetoka kuzika Tanga mjini, ni mwanamke wa ki marangu kaua mumewe na bahati nzuri sms ziko zinaonyesha mumewe akilala eti alitaka kumuaa kwa muda mrefu ila mungu tu anamsaidia na kama si watoto wake 2 angempa talaka muda mrefu, na sababu eti anasema ni pesa, sasa hayo ni maneno ya marehemu.

mwezi wa 3 kama sikosei tar 18 hiv, ndugu yetu alie muoa mmarangu wanakaa himo, njia ya kwenda Rombo alipoteza maisha, ila kulikuwa na mgogoro wa mke na mume kwa muda mrefu, na mke wake anasema hajui eti alikuwa na presha, ila alivimba sana tumbo, haya ni ya ukweli. na mwanamke yuko hata halii sanaa, macho makavu msibani. inatisha sana.

.Ktk huu msiba wa tanga kila.mtu tena watu wazee na wanawake wa makamo wakaanza kusema wa marangu hawafai siku hizi kuoa. ukikusanya pesa wanageuka haraka sana, tena wanakutenga na familia yake ya mume, na wanajionyesha watu wa dini hiv. ila ni heri ya wapelestina wamachame kwa sasa. ukizubaa tu wanakumaliza..basi watu kadhaa wakaanza kutoa ushuhuda jinsi hawa wanawake wa marangu walivyo, hadi nikachoka, ila wanaonekana watulivu kwa nje, wee ni kama kobe hao, na wanajiona sana, kujisifu nk.

ni story ndefu za watu wenye heshima zao walitoa ushuhuda. inatisha
 
Hivi tu ndo hawafai? Kwa hiyo hao marehemu wangekufa wakiwa wameoa wapare isingekuwa shida?

ndo ushangae mkuu watu kwa vle wa meshajenga fikra za kuuliwa unakuta mtu kafa kifo cha kawaida kwa vile ni kabila fulani basi ndo muuaji
 
Hivi tu ndo hawafai? Kwa hiyo hao marehemu wangekufa wakiwa wameoa wapare isingekuwa shida?

.
ulitaka ushuhuda wa watu wote wa misibani ndio uamini au, wanawake wamarangu ni danger sana
 
Fact Nyamayao .....nakuchukia sana hata wewe

hahahahhahaha, wala usijichoshe kunichukia mtu kama mie, mana sina time kabisaa na watu kama wewe, nawapotezeaga sanaa, halafu unachukia upepo?:A S-confused1: mana nyamayao kwako ni kama upepo tu, mie nakupendaje :busu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom