AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Hakuna tofauti katika wa dada wengi wa chagga na alshabab nika date naye yani nikawa ATM kibaya zaidi akianza lawama adi jogoo awike alitengeneza njama eti niwawe lakini nikawa mjaja sana nilimpiga kibuti mapema. yani balaaa! nikaleta hasty generalisation wato ndio walivo.am srry
Komba kyaruHahahahhah....hebu niibie,mabibi zenu huwa wanawaambia nini mkirudi uchagani ambacho kinawapa kiburi,kidogo tu!
Kumbe unawajua. Wake zetu ni kiboko na suala la kukataa wa ndugu zako na kurundika ndugu zake tu. Mchagga huwa hana uso wa aibu hata siku moja.Mimi si mchaga ila mume wangu ni mchaga...alishajipia asingeoa mchaga mwenzie ht kwa fimbo..nikamuuliza kwanini na wakt ni kabila moja akasema...sijui wakoje wakoje siwawez kwakweli...mimi nikabaki kimya...na hapo kuna demu wa kichaga alibeba mimba yake.hakutaka ht kumtambulisha kwao...ht kumuoa hakutaka ..
Mume wangu pia ana dada yake she is 36 now hajaolewa na ni msomi...ni mzuri ila ni mkorofi..ni mbabee htr..anapata mabwana wanamtosa njiani . Yani anataka kumcontrol kila mtu...
Yupo binti amezaa na kijana wetu watoto wawili na kuitingisha sana ile ndoa. Tatizo lake mbabe, na anataka apate haki sawa na mwenye mume na anashinikiza ndugu shughuli zote za kifamilia ahudhurie wala haogopi likitokea timbwili.
Sio wote wapo hivyo mm nimezaa na mzaramo anapenda pesa hadi namuogopa, mpaka sasa kila mtu kivyake nimeoa mchaga na maisha yanakwenda kawaida kabisa sipati kero nilizokua naziona kwa mzaramo
Kweli mkuu wanawake wakichaga ni shida ila sina uhakika kama ni wachaga tu au wanawake wote.,
Neno hilooo.....
Wachagga wachafu
Tamaa mbele (kupenda pesa)
Waana sifa mbaya ktk ndoa wanamambo ya ovyo saana
Ubabe usio na msingi na vngnevyo visvy ata na msing ktk jamii
Time to change chagga's