Wanawake wa kichaga mkoje?

Watajibeba
 
Jamaa hawa wapo tofauti na Watanzania,wao wanafanana na wakenya hata kwa ukabila wanao tena upo juu sana.

Demu atakujazia ndugu zake nyumbani uwasomeshe
 
Jamaa hawa wapo tofauti na Watanzania,wao wanafanana na wakenya hata kwa ukabila wanao tena upo juu sana.

Demu atakujazia ndugu zake nyumbani uwasomeshe
Kama ni ukabila basi ni nyie mnaotamani kuwatofautisha watanzania. Mtanzania gani asiependa kusaidia ndugu? Hata na hili nalo baya? Mimi naona ni jema sana japo ni mchaga sijaliwezea vizuri. Wenzangu wa Musoma nawasifia sana kwa hili. Ni wakarimu sana. Ila ni jambo jema.
Ila ni kuwaongoza kama ni vijana wasibweteke wajipange baada ya muda waanze maisha yao.
 
Baadhi ya wachaga wana tabia ya kikatili.....mfano halisi nina kakangu kawekwa kwenye kibuyu hasemi wala haoni kisa kachukua mchaga na mengine kibao.....daaaahhh cna ham naoo..... nd mana nlkuwa na dem bada ya kujua mchaga nilikula kona fasta................ msg sent**** Wachaga badilikeni***
 
Wakiachwa nani atawaoa na wakati wanaume wa kichagga wanatafuta wanawake wa makabila mengine wenye utu,wasiokuwa na ubabe kwa waume zao na wanaojua kudeka na kumheshimu mume?
 
Wakiachwa nani atawaoa na wakati wanaume wa kichagga wanatafuta wanawake wa makabila mengine wenye utu,wasiokuwa na ubabe kwa waume zao na wanaojua kudeka na kumheshimu mume?

Wamekwambia wako na shida ya kuolewa? Kama wamakabila mengine ni wazuri na wanaheshima why muhangaishane na wanawake wakichaga si mkaoe hao wengine? Au mnawaonea wivu wanawake wa kichaga?
 
Wakiachwa nani atawaoa na wakati wanaume wa kichagga wanatafuta wanawake wa makabila mengine wenye utu,wasiokuwa na ubabe kwa waume zao na wanaojua kudeka na kumheshimu mume?

Mimi si mchaga ila mume wangu ni mchaga...alishajipia asingeoa mchaga mwenzie ht kwa fimbo..nikamuuliza kwanini na wakt ni kabila moja akasema...sijui wakoje wakoje siwawez kwakweli...mimi nikabaki kimya...na hapo kuna demu wa kichaga alibeba mimba yake.hakutaka ht kumtambulisha kwao...ht kumuoa hakutaka ..
Mume wangu pia ana dada yake she is 36 now hajaolewa na ni msomi...ni mzuri ila ni mkorofi..ni mbabee htr..anapata mabwana wanamtosa njiani . Yani anataka kumcontrol kila mtu...
 
Kiukweli hakuna washkaji wa ukweli kama wana wakichagga na ni watafutaji hadi makabila mengine yanaweza kuiga mfano wao ila dada zao wana ubabe na ukatili kwa waume zao (hata kama ni wachagga wenzao) ambao hauna msingi wowote na kujali tu pesa na sio utu.

ONYO: Kama wewe ni maskini au una uchumi wa kawaida sana(sio tajiri) usioe mchagga kwani utaumia.
 
Sio wote wapo hivyo mm nimezaa na mzaramo anapenda pesa hadi namuogopa, mpaka sasa kila mtu kivyake nimeoa mchaga na maisha yanakwenda kawaida kabisa sipati kero nilizokua naziona kwa mzaramo
 
Hivi mnalalama mlitumwa kutuolea dada zetu?!

Huwa mnafataga nini mkiwa mnakimbilia kwetu!

alliah!
 
Wamekwambia wako na shida ya kuolewa? Kama wamakabila mengine ni wazuri na wanaheshima why muhangaishane na wanawake wakichaga si mkaoe hao wengine? Au mnawaonea wivu wanawake wa kichaga?

Wivu tu umewakaba hawa.
 
I like Chaga women for they can always keep their men on their toes
 
Nimeishi huko kwenu kwa kweli itakuwia ngumu kwa wengi wenu kuishi na mwanamke wa kichagga. Amezoea nyama kila siku na wakati mwingine milo yote. Majani sio mboga kuu. Uvivu wa wengi wenu unafanya mtu akipata hela kidogo mtu anabweteka. Mama wa kichagga hatakuelewa.
Oa kwenu tuachie wenyewe.
 
Hakuna tofauti katika wa dada wengi wa chagga na alshabab nika date naye yani nikawa ATM kibaya zaidi akianza lawama adi jogoo awike alitengeneza njama eti niwawe lakini nikawa mjaja sana nilimpiga kibuti mapema. yani balaaa! nikaleta hasty generalisation wato ndio walivo.am srry
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…