Wanawake wa kichaga mkoje?

Wanawake wa kichaga mkoje?

nandembako

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
655
Reaction score
528
Wenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha, unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu, unajiuliza amezaliwaje, analipia wapi pumzi yake, umemuoa anapenda malumbano, kitu kidogo anagombana hatari.

Unafanya anavyotaka lakini siku ukishindwa kidogo, yale yote yaliyopita yamefutika pia, kama game zisizo na save option.

Unajuta kuoa, maana kuacha unawaza mwanao ataishije, wewe uliishi bila baba au mama unapenda mwanao afurahie kila uwepo wenu, hutaki apate shida, lakini kwa hili unajikuta unatamani kushindwa kuliko kushinda.
 
Kama kuna sehemu mnakosea jirekebisheni, kwa nini kila mtu anawananga nyie tu, kwa nini nyie tu na sio kabila lingine...kuna kitu hakiko sawa labda..!

Wanaokosea ni hao wanao jumuisha wachaga wote kuwa na tabia moja.Tabia hazina kabila kama mtu anatabia mbaya ni yeye wala ukoo wake haukumfundisha kuwa na tabia mbaya.

Labda niseme tu wachaga wanapenda sana kuitafuta hela kwa kujishughulisha kwa namna yoyote ile.
 
Kweli kabisa woote,malalamiko wanayopewa wanaume ni machache kuliko wanayotoa....wanawake hamjiongezi
 
Ni madhara ya matambiko na mila wafanyiwazo sana na wazee wao...

Wengi wao si kwamba wanapenda kuwa hivyo na kimsingi hata wanaume wa kichaga wana shida sana ndoani...

Mila zipi wanazofanyiwa? Zinawafanya wanakuaje?
 
Au ndio kusema wachaga ndio wanaolewa sana kuliko makabila mengine,nahisi ipo namna au kuna kitu behind this....
 
Au ndio kusema wachaga ndio wanaolewa sana kuliko makabila mengine,nahisi ipo namna au kuna kitu behind this....
Nope, kabila zote zinaolewa na kuoa...lakini hawa jamaa wajichunguze. Haiwezekani kila mtu anawasema kila siku, kuna tatizo...kama ni pesa wao sio wa kwanza kuzisaka, kila mtu anategemea pesa kuishi. Kwa nini iwe wao tu kusemea na pesa?
 
Hapo mkuu umesema....mashemeji wakae na madada zao watoke na result zinazoeleweka,kizazi chao kina nini?
 
Wanaokosea ni hao wanao jumuisha wachaga wote kuwa na tabia moja.Tabia hazina kabila kama mtu anatabia mbaya ni yeye wala ukoo wake haukumfundisha kuwa na tabia mbaya.

Labda niseme tu wachaga wanapenda sana kuitafuta hela kwa kujishughulisha kwa namna yoyote ile
Nyie sio wa kwanza kutafuta pesa, sio kabila la kwanza kuwa na pesa, hio haina mantiki kabisa kiongozi. Labda useme 'mna tamaa ya pesa' you wanna reap where you don't saw..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom