Wanawake wa kibongo niwaoga sana!

Wanawake wa kibongo niwaoga sana!

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
habari wandugu!,
kama kichwa cha habari kinavyoeleza,napenda
nianze na mfano wa tukio lililonitokea juzi,siku hiyo ya weakend nilikwenda kwenye club moja hivi ya starehe nikiwa pamoja na girlfriend wangu,tulikula,kunywa na kucheza mziki mpaka mida ya saa 8 usiku ndipo bibie akaniambia twende tukapumzike,nikwambie atangulie n'je akatafute bodaboda minakuja naingia chooni mara moja,ile nilipo maliza kukojoa na kutoka nje nikaanza kumtafuta ndipo kwa mbele nikamuona akiwa amezungukwa na vijana watatu ikabidi nimfuate haraka nilipo fika karibu nikangundua wale vijana ni wahuni walikuwa wanataka kumbaka ikabidi mwanaume niingilie kati haraka sana kumlinda malkia wangu,kilichotokea hapo wale vijana nikaanza kupigana nao kwa mara ya kwanza walifanikiwa kunizidi ujanja kijana mmoja alinipiga teke moja zito kidogo ni dodondoke lakini nikaamua kuruka sarakasi hizi"shufani,chempu pamoja Gema"ili niweze kupata stamina nzuri lakini bado nikawa na yumbayumba kutoka na pombe nilizo kunywa ndipo nikaamua kutumia style ya "Drunken master" ili kuwa kabili maadui zangu watatu lakini bado sikufua dafu wakanishambulia kwa pamoja nikadodoka nchini nikainuka haraka sana kwa hasira ghafla nikaona mizimu yetu ya kisukuma ikiwa upande wangu ikinipa nguvu na kunitia moyo nikaona mzimu wa "mwana malundi,N'gwana nsuka,N'gwana ngosha...etc" hapohapo nikaona mwili wangu umekuwa na nguvu kama za tembo,nikaanza kukumbuka mafunzo yangu ya kikomando nilivyokuwa nafundishwa kupigana"Combat,Taekwondo,Ninja na Capoeira(paranawe),Kungfu...etc" ndipo nikapata ujasiri kama wa "Field Martial Mullah Omar"aliyekuwa kiongozi wa Taliban na Alqaeda,na pia nikawa mwepesi wakupigana kama "Bruce lee", Aisee kilichofuata hapo niliwapiga vibaya wale jamaa wote wakakimbia na kupoteana kila mmoja akachukua njia yake,nilipogeuka nyuma ni mwangalie malkia wangu kama yupo salama nikashangaa siku muona nikampigia simu kumuuliza uko wapi akanijibu yupo njiani anakimbia anaelekea kwao,Daah ndipo nilipojua wanawake wa kibongo ni waoga angekuwa wa kizungu angewarushia hata viatu/angewapiga hata mawe au na limti wale vijana waliokuwa wananishambulia,ukitembea na mwanamke wa kibongo ikitokea hatari jua uko peke yako wanaenda gym kujaza hips tu hawana nguvu za kurusha hata jiwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa,kula,kucheza muziki, kukojoa,kukabwa,mizimu ya kisukuma,kungfu,karate,mieleka,Field Mashauzi,Taliban,sarakasi,Mullar Omar,Bruce Lee.nk ..duh yaani mambo yote hayo kwenye robo paragraph kweli wewe kiboko...jitahidi unakipaji wewe....
 
habari wandugu!,
kama kichwa cha habari kinavyoeleza,napenda
nianze na mfano wa tukio lililonitokea juzi,siku hiyo ya weakend nilikwenda kwenye club moja hivi ya starehe nikiwa pamoja na girlfriend wangu,tulikula,kunywa na kucheza mziki mpaka mida ya saa 8 usiku ndipo bibie akaniambia twende tukapumzike,nikwambie atangulie n'je akatafute bodaboda minakuja naingia chooni mara moja,ile nilipo maliza kukojoa na kutoka nje nikaanza kumtafuta ndipo kwa mbele nikamuona akiwa amezungukwa na vijana watatu ikabidi nimfuate haraka nilipo fika karibu nikangundua wale vijana ni wahuni walikuwa wanataka kumbaka ikabidi mwanaume niingilie kati haraka sana kumlinda malkia wangu,kilichotokea hapo wale vijana nikaanza kupigana nao kwa mara ya kwanza walifanikiwa kunizidi ujanja kijana mmoja alinipiga teke moja zito kidogo ni dodondoke lakini nikaamua kuruka sarakasi hizi"shufani,chempu pamoja Gema"ili niweze kupata stamina nzuri lakini bado nikawa na yumbayumba kutoka na pombe nilizo kunywa ndipo nikaamua kutumia style ya "Drunken master" ili kuwa kabili maadui zangu watatu lakini bado sikufua dafu wakanishambulia kwa pamoja nikadodoka nchini nikainuka haraka sana kwa hasira ghafla nikaona mizimu yetu ya kisukuma ikiwa upande wangu ikinipa nguvu na kunitia moyo nikaona mzimu wa "mwana malundi,N'gwana nsuka,N'gwana ngosha...etc" hapohapo nikaona mwili wangu umekuwa na nguvu kama za tembo,nikaanza kukumbuka mafunzo yangu ya kikomando nilivyokuwa nafundishwa kupigana"Combat,Taekwondo,Ninja na Capoeira(paranawe),Kungfu...etc" ndipo nikapata ujasiri kama wa "Field Martial Mullah Omar"aliyekuwa kiongozi wa Taliban na Alqaeda,na pia nikawa mwepesi wakupigana kama "Bruce lee", Aisee kilichofuata hapo niliwapiga vibaya wale jamaa wote wakakimbia na kupoteana kila mmoja akachukua njia yake,nilipogeuka nyuma ni mwangalie malkia wangu kama yupo salama nikashangaa siku muona nikampigia simu kumuuliza uko wapi akanijibu yupo njiani anakimbia anaelekea kwao,Daah ndipo nilipojua wanawake wa kibongo ni waoga angekuwa wa kizungu angewarushia hata viatu/angewapiga hata mawe au na limti wale vijana waliokuwa wananishambulia,ukitembea na mwanamke wa kibongo ikitokea hatari jua uko peke yako wanaenda gym kujaza hips tu hawana nguvu za kurusha hata jiwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nyumba watapiga like hapa.mhh vijana wa serikali ya viwonder

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee unaanzaje kumtuma mwanamke akatafute bodaboda usiku mwenyewe!??

Daah wanaume tunazidi kupotea!!
 
Yaani hat nmimeshindwa nimuweke kundi gani. dume zima eti unategemea mwanamke akusaidie kupigana. dah kweli idadi ya wanaume inapungua kila kukicha
 
Kazingua sana huyo, bora hata mwanamke alimkimbia!!
 
Back
Top Bottom