Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,708
Mwanamke anayeamua kunyoa nywele zake zibaki fupi huwa ana ujasiri. Wengi hawajiamini. Ukiona mwanamke kakata nywele na bado anaonekana mrembo, basi huyo ni mrembo kweli kweli...Kuna wanawake wa kiafrika ambao wamejiaminia na wanajielewa. Kama huyu hapa.
Sabina Chege, mbunge wa Kaunti ya Murang'a, Kenya. Mheshimiwa, ipo siku ntapigwa risasi nyingi sana, kwasababu yako tu. 🙂![]()