Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
Wanawake wa kiafrika bwana!
Ona kama huyu, anajiona mzungu au?
Waafrika alieturoga alituweza aisee.
Ona kama huyu, anajiona mzungu au?
Waafrika alieturoga alituweza aisee.
KiooSijui nani alimwambia kapendeza
Hilo wig mzgoWanawake wa kiafrika bwana!
Ona kama huyu, anajiona mzungu au?
Waafrika alieturoga alituweza aisee.
View attachment 721573
Mkuu vp ulitaka anyoe kipara au?
Dah, hii hujuma ni ya mwendokasi. 🙂 Pole Wolff.Na mimi leo nimekua wa kwanza kureply
Dadadadadekiiiiiiiiii!!!!!!!!
Kazi kweli kweliDah, hii hujuma ni ya mwendokasi. 🙂Pole Wolff.
Emancipate yourself from mental slavery none but ourselves can free our minds......aisee yaani ukoloni ulituathiri sana
emanspate yourself from mentality slavelry non but our self can free our mind
Kwani wakoloni walitawala wanawake pekee?aisee yaani ukoloni ulituathiri sana
emanspate yourself from mentality slavelry non but our self can free our mind
Akifika nyumbani cha kwanza anakimbilia kuvua wigi, ni sawa na kujitwisha mzigo wa kilo 5.Hilo wig mzgo
😀😀😀😀😀😀😀 Holla!...Na mimi leo nimekua wa kwanza kureply
Dadadadadekiiiiiiiiii!!!!!!!!