Kama mie hapa mtoto wa shy town
Cc:kiwatengu
Msamehe tu mkuu, tatizo ni umri ndo maana anabehave kama teenager!!!!!!!!hapa tujadili nini sasa? hebu toa mwongozo
Haaaa Asprin sasa hivi.anaendesha ibada ujue....
MWALLU ni BARIADI hiyo,Kumbuka kuwa mleta maada anaongelea MWANZA.Mkuu mbona mdogo wangu Mwallu hana mpododo na anatokea huko
Kagua tena.....usikague huku umeangalia juu anganiAaa wapi weka picha; na Mwallu huyu huyu wa rock city nilikagua kwa makini
Mja kapotoka baba parokoNamshangaa hivi anaanzaje kuzunngumza mambo haya? Eti mwallu unamfahamu huyu
Afadhali ushuhudie uyafahamuyo.....
Paroko ngoja niutafakari ukuu wa aliye juu.....panapo majaaliwa,kesho....
Kagua tena.....usikague huku umeangalia juu angani
Mja kapotoka baba paroko
Bado charminglady...nikipata nauli...
Eeeeeh haya bwana
Ktu kp hcho we HHHK
Mambo my dia?upo?nimekumiss ujue eeeeh!!!