Wanawake wa kabila gani wanaongoza kwa Miguu ya bia?( Miguu minene)

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Hivi hapa Tanzania ni wanawake wa kabila gani wanaongoza kwa kuwa na miguu ya BIA?
 
Sasa hapa kila mtu nikutaja kabila lake analolipenda, nadhani inategemeana na afya ya mwanamke mwenyewe iko haina haja ya kuingiza Makabila maana siku hizi watu wengi wanaboresha miili yao kwa dawa.
 
Kwani huyu kabila gani?????

images
 
Sasa hapa kila mtu nikutaja kabila lake analolipenda, nadhani inategemeana na afya ya mwanamke mwenyewe iko haina haja ya kuingiza Makabila maana siku hizi watu wengi wanaboresha miili yao kwa dawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom