faiza foxy nakufagilia wawawawa...you are bold,tough,straight forward,hujui kumung'unya maneno,nakukubali.Mie naona Lizzy ndio mrembo kuliko wote humu ndani
Nadhani itakuwa ni halfhot halfhot.Ha ha ha ha ha ha, hivi vugu vugu kwa kizungu ni nini?
Umenena vema, ungesema yuko hot ungenitambua. Kuna mikware humu lazima ingeisarandia asali ya ODM. Sipendi kesi za kukanumba watu asee...:hat:
mi siwezi jua mtu yukoje kwa jinsi anavyoandika humu...based on my past experience i never judge a book by its cover...:A S 13:
Nadhani itakuwa ni halfhot halfhot.
Umenena vema, ungesema yuko hot ungenitambua. Kuna mikware humu lazima ingeisarandia asali ya ODM. Sipendi kesi za kukanumba watu asee...:hat:
Nadhani itakuwa ni halfhot halfhot.
Umenena vema, ungesema yuko hot ungenitambua. Kuna mikware humu lazima ingeisarandia asali ya ODM. Sipendi kesi za kukanumba watu asee...:hat:
Lizzy unatutafutia visa wewe tutaje halafu tukiulizwa tumejuaje tutajibuje..............
Ha ha ha ha kuna mtu mmmhhhh ngoja nisepe mie nisije sutwa bure........