Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,388
- 88,760
Basi wakunyumba ndo hivyo. Ila league ilikua hatari jamani hadi nikala block kwa team M. Yule Decute88 hadi leo kanipa block instaWakunyumba ndio huyo huyo hilo jina la kwenye vitabu silijui nalijua linaloanzia na S huyu alijua kunyooshana na M woiiii nikikumbuka ligi yao mjini sihami
