Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Sawa dada...

Me ntakuja huko chumbani PM... basi... ntakutumia text halafu nibaki nasubiri...
Hilo ni tatizo sugu kwa app yetu hii hata mimi ninalo lakini PM za watu naziona, ninyi mnashindwaje kuziona??? Halafu kwa nini uanzishe conversation wakati unajua uko bize? Mimi nikijua nimeanzisha convo na mtu huwa siachi kuchungulia nione kama amejibu sijajua inakuwaje mtu unapotea kwa siku kadhaa. Wakati mwingine nakuona kwenye thread unakomenti kama kawaida...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom