wanawake wa jf kuanzia leo msinijue

Last edited by a moderator:
Ahahaaaaaa! le BISHANGA LE BASHAIJA FATAKI LA TANDALE Mbona unaleta mambo ya hausimami hausimiki hapa kalagabao umefulia wewe hautudai hatukudai kazi yako copy and paste nenda kaazime guta kwa ERICK52 ukambebe huyo m-asia wako
The secretary ngoja niongezee kitu hapo Bishanga ni nyumba ya udongo hastahimili vishindo, alikimbilia kulia akakuta kushoto kumesha bomoka. saa hizi kakalia sizitaki mbichi hizi. Mwacheni aende mziba huyu eti anajidai kwa mali alizohonga wakati saa hizi wenzie wanahonga fukwe na tembo kamtilia maji kweli manake alizidi kusifiwa. pia alishasahau kabisa kuwa ivumayo haidumu.

ila nimtie moyo kumbuka kuwa ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno, na ukisema cha nini mwenzio anasema ntakipataje so ataopoa wa saiz yake tu. kwani sikuzote banian mbaya kiatu chake dawa.

wera wera eeh! heri kenda nenda kuliko kumi nenda rudi. mpoooooooooo! watu eeh!
 
Mwalimu wako khadija kopa au saida kalori?
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu wako khadija kopa au saida kalori?

hao wanafunzi wangu, wewe si ulinona kwenye msuto jinsi nilivyokuwa. haya yapo tu kuna button niki click yanakuja kama mvua.

wewe leo ungeniomba nikupe desa la nini kifanyik ekuliko kusema eti tusikujue chezeya vigori weye.
 
Nani anisutue? Mi mtu akinisuta kuna wa kunijibia mapigo. Yaani aliyeleta msuto atakula za uso toka wa wapenzi wangu na wajukuu zangu kibao. Mbele kuna BADILI TABIA, Kati kuna Yummy, Beki yuko cacico na golini yupo Kongosho mwenyewe. Chezeya ODM? Marefarii kuna gfsonwin na Roulette.
Hahahahaaaa Asprin hii timu yako nimeipenda ingawa kuna wachezaji wako wengine pia wanausajiri kwenye kikosi changu cha burudani....Lol
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 atapatwa na mfadhaiko kama tukimkataa wote hata wewe unamzibia? Bishanga mi uwe unakuja na kangara na kindi tu sitaki hayo ya mjini sijui maberber na top.
Heheheheheeee angalia usije ukalia machozi ya damu maana huyo akikupa Vitz malipo yake ni noma na hana na wewe
Atakupangisha foleni hadi ushangae
Chezeya Bishanga weye
 
Last edited by a moderator:
Mnajifahamu,wote ambao nimewasarandia,wote ambao nimewagonga,kuanzia leo siwajui msinijue.Tatizo lenu mkiniomba hela ya saluni nisiwape mnakimbilia kunisasambua jamvini,mnanchekesha.Narudia kusema mi na nyie basi,na hivyo vi vitz nilivyokununulieni chukua,na viwanja hata hati hizo chukueni,na zaabu nikiwaleteeni toka dubai chukueni,niliowaazima ipad zangu chukueni,niliokupeni ma samsung galaxy na mamiwani ya ray ban na police chukueni,na hiyo misaa ya cartier na gucci niliyokupeni chukua.Tatizo lenu wengi wenu mnasahau nilikokutoeni,kama wewe Zinduna ulikuwa sakapoko,huna mbele wala nyuma,viatu nilikufundisha mie kuvaa,leo unanata, kwenda ulaya kwako sasa ni sawa na kwena magomeni ,nimekusomesha kuanzia fom one shaban robeti hadi nikakupeleka Uk masters digrii,kazi benki kuu nimekutafutia mie,apartment upanga nimekununulia mie,wadogo zako bishanga ndo nimewatoa,sasa juzi gari suzuki vitara kukwama gereji nakwambia subiri kidogo nitakwenda kulipa ndo una panic na kukimbilia jf? Loh huna hata uso wa haya binti Said wewe,sasa utajibeba nione utaishije mjini.
Nenda zangu Mynmar kuvuta kibinti cha ki Asia naambiwa wana adabu hawa na wanajua kutunza mme.
Bishanga nakwambia nenda mwana kwenda, wala sitishiki, mwanaume gani unajisifu kwa vitu vidogo kama hivyo, ni bahati nzuri tu sijawahi kula vijisenti vyako, lau kama ningekuwa nimekula ungeniuwa kwa masimango........ Nenda kwa hao hao vibushuti wa Tandale kwa Mtalingongo wasiojua mizungu wala miungu.
Na kwa taarifa yako hapa umechokoza moto na wallahi mwaka huu utakuwakia na utajibeba.

Looooo mwanaume wewe huna hata uso na haya, kuja kujishembendua humu eti unabana pua ooo..Zinduna nimekusomesha kuanzia fom one shaban robeti hadi nikakupeleka Uk masters digrii,kazi benki kuu nimekutafutia mie,apartment upanga nimekununulia mie.... Nyoooo ..... ovyooo!

Nakwambia koma, tena koma
Katu usitake shari uso iweza
Laiti ungekuwa nazo, wallahi usingezoza
Uliona wapi, mchanga wa bahari ukafyatua tofali
Kawatishe hao hao, Majununi, na hakika mziki wa Zinduna katu hutouweza

Hiloooo! LOL
 
Last edited by a moderator:
Nani anisutue? Mi mtu akinisuta kuna wa kunijibia mapigo. Yaani aliyeleta msuto atakula za uso toka wa wapenzi wangu na wajukuu zangu kibao. Mbele kuna BADILI TABIA, Kati kuna Yummy, Beki yuko cacico na golini yupo Kongosho mwenyewe. Chezeya ODM? Marefarii kuna gfsonwin na Roulette.
Asprin hao wote uliowataja, watakugeuka, mtu mwenyewe mchovu hivo, Haluuuuuu!
Subiri msuto wako siku zijazo, "You are next!"

Last edited by a moderator:
Huyu mzee anazeeka vibaya hapa mjini hapamfai tena mrudisheni kijijini apunguze mawazo ya magari aliyohonga ila hana ubavu wa kuhonga yeye mwenyewe anaishi kwa kudra za mwenyezi hiyo jeuri anapata wapi ya kusomesha concubine masters wakati wajukuu zake kila uchao wanarudishwa ada.mmh
 
Bishanga nakwambia nenda mwana kwenda,

Nakwambia koma, tena koma
Katu usitake shari uso iweza
Laiti ungekuwa nazo, wallahi usingezoza
Uliona wapi, mchanga wa bahari ukafyatua tofali
Kawatishe hao hao, Majununi, na hakika mziki wa Zinduna katu hutouweza

Hiloooo! LOL
Darling Ziduna,mbona unazoza umesimama juu ya kitanda? Kaa basi na kisha ongea taratibu,mpaka majirani kina gfsowin wasikie?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom