Mimi nimeweza hilo,na ukweli wangu unaniponza sana ila sijutii ninajitahidi kuwa mkweli.
Huwezi kujua uongo wa wanaume kwa kua hawakudanganyi weweAsilimia kubwa ya wanaondaganya ni wanawake, wanaume ni wachache sana!!!
Jamaa siku yao ya kwanza ya Ndoa akamuuliza mkewe,... "Una hakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?."
Mke akajibu, "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli mpaka asubuhi."
Bwana harusi kazimia.