Utamu hadharani,hatariNinachokwambia nina uhakika nacho kwa 100% sababu hata jana tu nilikuwa maeneo ya uwanja wa ndege, alipita dada mmoja hv akiwa ktk mishe zake akaangusha peni mbele za watu.
Kimbembe ni "Je ataiokota vp nakati nguo aliyoivaa ni laini sana/transparent na imeruka magotini hadi imefika usawa wa katikati ya mapaja yake?
Alisubiri sana akiombea tusimuangalie jnc atavyoiokota ile peni hadi Ilibidi watu tujifanye kama hatumuoni ndipo aliiokota haraka haraka, lkn kiukweli alijistukia sana na kufedheheka sana tulipogeuka tena kumuangalia alipoinama na kuacha uroda wote nnje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jichange uje Baba uone Dunia ilivyovaa buktaweka picha, maana sio wote umu tunakaa 'daa'
Wewe huwa unavaa ndefu?Wamekusikia ila binafsi wananikera sana...utakuta mtu tumbo hiloo kavaa kinguo kifupi anatembea anashushashusha hadi kero..wanatumwa wavae ovyo!!
Mleta mada nashukuru sana kwa kuleta mada hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Tigo 4GNAWAONAGA HUWA NAWASHANGAAGA..ZAMANI SIJAWAHI ONA HIZI MAMBO..NI MIAKA YA SA HV TU HII YA MATATIZO YA KIDIGITALI
Amina,ninakwazika sana na hawa wadada wenye pepoWamekusikia ila binafsi wananikera sana...utakuta mtu tumbo hiloo kavaa kinguo kifupi anatembea anashushashusha hadi kero..wanatumwa wavae ovyo!!
Mleta mada nashukuru sana kwa kuleta mada hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama zao hawakuwahi kufanya huu ujinga,naombea mikoani hii kitu isifike,wanaweza chapwa bakora.NAWAONAGA HUWA NAWASHANGAAGA..ZAMANI SIJAWAHI ONA HIZI MAMBO..NI MIAKA YA SA HV TU HII YA MATATIZO YA KIDIGITALI
Inasemekana wengine hubadilishwa tabia na mimba zao, nasikia baadhi huwa malaya wa kutupwa kwani muda mwingi hupata genye hivyo mume akiwa mbali hulazimika kutafuta fimbo ya Musa popote na huweza kugegedwa hata sehemu isiyofaa.
Hebu tuione kama kweli
Fimbo ya Musa!!Inasemekana wengine hubadilishwa tabia na mimba zao, nasikia baadhi huwa malaya wa kutupwa kwani muda mwingi hupata genye hivyo mume akiwa mbali hulazimika kutafuta fimbo ya Musa popote na huweza kugegedwa hata sehemu isiyofaa.
Kwa Dar es Salaam wanasingizia joto lakini ukweli ni kwamba wanatafuta wanaume wa kuwakata kiu. Sio Jijini tu hata mikoani kuna ujinga huo hasa makao makuu ya wilaya, mkoa au mji uliochangamka mambo hayo yapo na wanagegedwa Sana.
Mkorintho wa 6
Endelea kusubiri mpaka utaona Live ya mtu wa kwenumpaka sasa sijaona picha inayosadiki haya!