Ooh sawa asante kwa ushauri"Anafurahia kukutamani pekee wala siyo kukupenda kwa dhati"
Na ninyi kwanini muwe kimahusiano na Mwanaume asiyejitambua kiasi hicho lkn?
Mwanaume yupi rijali anayejielewa kimaadili mema akapendezwa na Mke/Mchumba/Mpenzi wake atembee uchi barabarani au mitaani?
Vaeni kikahaba/kimalaya mkiwa vyumbani mwenu na Wanaume/Waume/Wapenzi wenu lkn si mbele za watu, la sivyo kwa 100% kiakili ni lazima Mwanaume anayejitambua akutafsiri unafanya biashara ya matangazo ya mwili wako ili waje Wanaume wahuni wakununue/wakuhonge ufanye nao ukahaba/umalaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tena Mama, tena ukiona ameshaanza kukuletea huo ujinga basi ni heri ukaanza tu kujiachia pole pole ukijua hapo tayari huna chako zaidi ya kupotezewa muda tu.
Ndio maana mimi nimejiweka kwako baba mwanaume unayejielewa[emoji4]Karibu tena Mama, tena ukiona ameshaanza kukuletea huo ujinga basi ni heri ukaanza tu kujiachia pole pole ukijua hapo tayari huna chako zaidi ya kupotezewa muda tu.
Na Wanaume hufanya kukusifia ukiwa ktk hali km hiyo sababu anaelewa kusifiwa ni sehemu 1wapo ya udhaifu wenu kwetu Wanaume, so ni heri azidi kukusifia ili uzidi kuwa naye karibu hasa kimapenzi lkn rohoni mwake tayari kashakutoa kabisa kihisia kwa mtizamo wa maisha ya baadaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana mimi nimejiweka kwako baba mwanaume unayejielewa[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hewa muhimu.
Sasa hewa unapataje huku umejigubika mnguo!!!Haijakatazwa lakini pata hiyo hewa ukiwa umejisitiri vizuri.
Sasa hewa unapataje huku umejigubika mnguo!!!
Nashukuru kwa kuliona hilo pia! Khaa wanatia aibuHapa mkuu hujamuonea mtu, umesema ukweli mtu. Hawa ndugu zetu baadhi yao wanapenda kuishi maisha ya videoni sana!
Wazazi wao hawakuwa na mambo kama hayo,kuwa flexible ziwe pana,sio watuvalie vimonoWanawake wanapenda kuvaa nguo flexible pale wanapokuwa na ujauzito
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ingewaruhusu wangefanya hivyo! Walianza kupiga picha matumbo yao, wakaona haitoshi waonyeshe mapaja piaWanatakiwa hata watembee uchi naona hata nguo haziwafai.
Wajinga sana hawa wakina mama kijacho mbururaPUMBAVU THAAAAANA.
Hali ya hewa ndiyo Watu waone kila kilichomo ndani yako?
Kwanza nini maana ya chupi?
Kwanini kila mtu aone uchi unaopaswa uonwe na Mpenzi/Mwandani wako pekee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume Wengine wanaruhusu huo ujinga wanaona ni mahabaSiyo mapaja tu bali hadi papa lilivyopasuka pale katikati linajichora kwa 100%, sijui ndiko kutokuwa na maamuzi mazuri ya uongozi kiuanaume sawa na kichwa cha familia hadi kutokee na ujinga kiasi hicho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo full kuiga ujingaNi sawa na ile inayohangaika na mambo feki feki tu mwilini kujiremba nayo(matako ya kichina/feki) nakati wanaowatengenezea wenyewe hata hawaangaiki na hivyo vitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa,kuliwa hadharani sheria zikilegea utawaonaPia hata hapo pia hawataridhika zaidi ya watatamani tena wawe wanatafunwa hadharani ili kuonekana jnc gani wanaojua mapenzi kumbe ndiyo kujipotezea kabisa sifa stahiki za kuwa "WAKE WEMA"
Sent using Jamii Forums mobile app