Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,231
- 1,537
Limekuwa jambo la kawaida kwa Hawa Dada zatu na Wadogo zetu wakipata uja uzito siku hizi ( Baadhi) huvaa nguo fupi mnoo,hili pepo limetoka wapi?.
Nani amewaroga,mnaiga hata fashion zisizokuwa na mashiko! Nani anataka kuoni hizo nyuchi zenu? Mnaboa sana.hizo nguo fupi kwanini zisivaliwe vyumbani kwenu wawaone waliowapa hiyo mizigo?
Nguo zinakuwa juu ya goti,kuinama ni shida,kutembea mnajistukia.mpaka Mtu uliyekutana naye unaona aibu! Waachieni machangudoa hayo mavazi! Vaa nguo pana na urefu wa kawaida iwe Binti Sayuni.
Hayo tu,kama sio mmoja wao, basi wafikishie ujumbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bhozo wanyizucha e'mbute.Hahahaha, umenikumbusha kijijini kwetu enzi hizo mkuu!
Watoto wa town hawawez kujua hii kituHahahaha, umenikumbusha kijijini kwetu enzi hizo mkuu!
PUMBAVU THAAAAANA.nguo fupi, nyepesi ndo wanasema wako comfortable na hali ya hewa.
Wanaume wa dar pia majanga! Unamruhusu vipi mke wako atoke kwenye himaya yako anaonyesha mapaja yake kwa wapita njia! So stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wote mkuu. Halafu hawa wakina mama wanatoka wakati waume zao washawai makazini
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
KhaaSiyo mapaja tu bali hadi papa lilivyopasuka pale katikati linajichora kwa 100%, sijui ndiko kutokuwa na maamuzi mazuri ya uongozi kiuanaume sawa na kichwa cha familia hadi kutokee na ujinga kiasi hicho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaah!...? Kila kitu nyie jmn, ama kweli huwa hamjui mnachokitaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na ile inayohangaika na mambo feki feki tu mwilini kujiremba nayo(matako ya kichina/feki) nakati wanaowatengenezea wenyewe hata hawaangaiki na hivyo vitu.Hapa mkuu hujamuonea mtu, umesema ukweli mtu. Hawa ndugu zetu baadhi yao wanapenda kuishi maisha ya videoni sana!
Pia hata hapo pia hawataridhika zaidi ya watatamani tena wawe wanatafunwa hadharani ili kuonekana jnc gani wanaojua mapenzi kumbe ndiyo kujipotezea kabisa sifa stahiki za kuwa "WAKE WEMA"Wanatakiwa hata watembee uchi naona hata nguo haziwafai.
Ninachokwambia nina uhakika nacho kwa 100% sababu hata jana tu nilikuwa maeneo ya uwanja wa ndege, alipita dada mmoja hv akiwa ktk mishe zake akaangusha peni mbele za watu.
Ninachokwambia nina uhakika nacho kwa 100% sababu hata jana tu nilikuwa maeneo ya uwanja wa ndege, alipita dada mmoja hv akiwa ktk mishe zake akaangusha peni mbele za watu.
Kimbembe ni "Je ataiokota vp nakati nguo aliyoivaa ni laini sana/transparent na imeruka magotini hadi imefika usawa wa katikati ya mapaja yake?
Alisubiri sana akiombea tusimuangalie jnc atavyoiokota ile peni hadi Ilibidi watu tujifanye kama hatumuoni ndipo aliiokota haraka haraka, lkn kiukweli alijistukia sana na kufedheheka sana tulipogeuka tena kumuangalia alipoinama na kuacha uroda wote nnje.
Sent using Jamii Forums mobile app