Picha ya nini? Kama Wewe upo Mkoani Jichange uje ujionee LIVE bila chenga.
Wanaume wa dar pia majanga! Unamruhusu vipi mke wako atoke kwenye himaya yako anaonyesha mapaja yake kwa wapita njia! So stupidAisee ni kweli tena wengine ni wanawake wa makamo lakini wanachukuliwa na fasheni zisizo na maana zisizo ficha maungo yao.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mama zao waliwazaa na hawakuwa na swaga za kuacha mapaja wazi!nguo fupi, nyepesi ndo wanasema wako comfortable na hali ya hewa.
Wanaume wa dar pia majanga! Unamruhusu vipi mke wako atoke kwenye himaya yako anaonyesha mapaja yake kwa wapita njia! So stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya wafikishie ujumbe na wenzio wanaojifanya Wazungu poli.Sawa tumeskia
Yap,sio wote,ila hao Mbweha wachache wanachafulia Jiji! Kumbe wanasubiri Father house katoka ndipo wanavaa uchizi ule.ukibahatika kupita kwa madaktari Bingwa wa wanawake utatamani ardhi ikufunike usione vituko,kila mmoja anataka kumzidi mwenzieSiyo wote mkuu. Halafu hawa wakina mama wanatoka wakati waume zao washawai makazini
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hii kitu ameona chato, ameogopa kusema tu.Wanaume wa dar pia majanga! Unamruhusu vipi mke wako atoke kwenye himaya yako anaonyesha mapaja yake kwa wapita njia! So stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wanajifanya wametoka ushuani,uzungu mwingi na vigali vyao vibaby walker A.K.A vifuu.Wanaogopa public Transport, watakuwa embarrassedWanawake wa temeke hao
Afu Sijui huwa hawajiangilii kwenye kioo maana unakuta tako lote limemezwa na tumbo still bado anangangania kuvaa vinguo vifupi miguu yenyewe unakuta imevimba ova mihogo ya kutengenezea MBUTEWengi wanajifanya wametoka ushuani,uzungu mwingi na vigali vyao vibaby walker A.K.A vifuu.Wanaogopa public Transport, watakuwa embarrassed
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa,kuna wengine hata vyupi huwa hawavai sasa ukipunga upepo vile ni sheedah
Kabisa,hawavutii lakini wamekomaa na fashionAfu Sijui huwa hawajiangilii kwenye kioo maana unakuta tako lote limemezwa na tumbo still bado anangangania kuvaa vinguo vifupi miguu yenyewe unakuta imevimba ova mihogo ya kutengenezea MBUTE
MBUTE