Ukute uliombwa 50000 tu unaanza kulalamika,sie tunaohonga milioni kila wiki tuko kimyaa...!!piga kazi upate hela nyingi chukulia vibomu kama challenge na machaguo yanaongezeka, Nyie ndo walee kila siku mnatuhesabia tu mara ooh nmetoka na Wema,mara oh... Natoka na Madame B kumbe mwenzio naumia ndani kwa ndani tu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums