Wanawake Vizinga

Siku hizi bila pesa hakuna mapenzi ndugu mwamke gani anapenda kulala njaa wanatafuata penye udongo Wa rutuba
sijasema mwanamke au mpenzi wako usimpe pesa nachosema mtu ndo mnaanza kujuana anaanza vizinga hapohapo
 
Km alikuwa anakudengulia ikatokea siku akajileta kwako jiandae kwa mzinga tu...
 
I like your arguments baeleze batoto bajue, mapenzi ni win win situation. Kizuri gharama
 
Waambie kabisa hili tatizo ni kubwa sana, wapo kama 2 ilibidi niwaambie waje kwangu wapaone na mali nlizonazo hii ni baada ya kushtuka kuwa wanataka pesa tu alikuja mmoja baada ya mwingine kila mtu kwa muda wake wakakubali maisha nliyonayo maana hawakutegemea kuona vitu vikali maana ilinilazimu kuwaonyesha kadi za gari na hati za nyumba original sio copy, baada ya siku 3 wakaanzisha story ya kutaka nimpe hela afanye shoping mwingine eti nyumbani kuna tatizo nimpe laki 4. Ni hatari sana, nafaham wamo humu watasoma hii post yangu waweke picha walizopiga nyumbani kwangu kwa uhahidi. Pesa bhana ni shida, nlianza sasa kumwambia tukamilishe wakaanza kuzungusha ila pesa wanataka watatue matatizo yao, lengo langu nlitaka nimpate mmoja tu aliye serious ndo nimchukue ahaha nliamua kuwaacha kabisa sasa hivi natafuta kwingine sio hapa
 

Mkuu hawa viumbe ni hatari sana kwa afya, ila mimi nahisi wengi wameolewa ila tu wanakuwa wanataka kuchuna watu wananiona kama nalalamika wanahisi nashindwa kuwapa hela ila hapana kama unatafuta mchumba usitangulize pesa mbele yaani mnajuana leo unaadha kuniuliza namiliki nini na nini we unataka mchumba au unavitaka navyomiliki basi kama ndo hivyo tangaza kabisa vigezo vyako watu tunakuja tunajua unahitaji vitu gani
 
Hawakuelewa swaga zako ndomana wakatanguliza pesa jichunguze na wewe
 
Hehehehe tafuta mtaani tu mkuu humu ujue hautakuwa peke yako
 
Njia unayotumia si ya wakati huu, ni ya enzi zetu. Njia nzuri ya wakati huu kutafuta mchumba weka pesa mbele na ukiwa naye jaribu kuchunguza ni yupi anakufaa. Je, mawazo yake ni kwenda kuzitumia au ni kukushauri zijenge future. Ukimweka katika kikaango akakaangika basi huyo ni wife material. Uzoefu unaonyesha kuwa ili umpate bibie lazima utangulize fedha maana hata yeye hayupo sure kama unataka kuchukua jumla au ni chovya chovya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…