Nielewe vizuri upendo sio pesa ila pesa inamchango kwenye kupendwa na kupenda.
Pia elewa,
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake na hapo inategemea huyo mbuzi kafungwa wapi.
Bakhresa atakula vya levo yake na mimi nitakula vya levo yangu na wewe Utakula vya levo yako.
Hakuna upendo usio na sababu mzee. Hakuna mtu wa kukupenda from no where tu mzee.
Chukulia instance hii.
: mwanamke kapendwa na mtu mwenye pesa na kapuku. Wote wanamjali, wanamheshimu na kumthamini. Na mwanamke pia anawapenda wote. Ila jamaa wa pili hawezi kumhudumia mtoto kama anavyofanya jamaa wa kwanza. Nani atamchukua mtoto?