Yamekukuta ??Wanawake wa humu ndani acheni tabia zenu za kujifanya mko serious kutafuta wachumba kumbe mnajiuza, utasikia hebu nipe kwanza nijue namna ulivyo na sie tunawajaribu kwanza siwezi kukuambia ukweli sasa kamwanamama ka JF ukikaambia tu hauna kazi una mishemishe zako za kitaa hakakutafti tena kumbe mmekaa ki maslahi zaidi, acheni hizo wahudumieni waume zenu
Wanawake wa humu ndani acheni tabia zenu za kujifanya mko serious kutafuta wachumba kumbe mnajiuza, utasikia hebu nipe kwanza nijue namna ulivyo na sie tunawajaribu kwanza siwezi kukuambia ukweli sasa kamwanamama ka JF ukikaambia tu hauna kazi una mishemishe zako za kitaa hakakutafti tena kumbe mmekaa ki maslahi zaidi, acheni hizo wahudumieni waume zenu
We jamaa acha mambo yako, hivi unadhani upendo ungekua unaangalia pesa wewe ungekua na mwanamke? wanawake wote wangeolewa na akina Manji, Mengi, Bakhlesa na wengine wenye pesa zao ila wewe na hele yako ya kula usingepata kitu. kama wanataka wachumba kweli wajitoe muhanga ile tuje tutafte pamoja na si kutaka miteremkoMwache kulalamika nyie jamaa.
Hivi nani atakupenda pasipo hata na senti? Kuanzisha familia hatuangaliii sura ya mtu na moyo wa mtu tu. Sababu kama hali ya uchumi wa mtu ni muhimu.
Nani anapenda kulala njaa, au wanawe washindwe kusoma kisa eti anaupendo wa Dhati? Hakuna upendo usio na sababu. Binafsi siwezi kutengeneza mahusiano ya ndoa kwa mwanamke ambaye atanilalia. Hili lipo wazi labda muendelee kujipa mioyo tu.
hahahaaaa!!! mkuu picha ya nini tena mimi ni mpya humu lakini nimepata malalamiko kwa rafiki zangu waliokua member nikaona nijiunge ili kufikisha huu ujumbe kwa wahusikia
MKUU,
WEKA PICHA KWANZA.
Sio kweliUkiona manyoya????
we unataka nisikubaliwekwani lazima ukubaliwe
mbona unakua mitakataka
Upendo wa sababu sio upendo. Mapenzi na pesa wapi na wapi? Ndo mana ndoa zinaanguka.Mwache kulalamika nyie jamaa.
Hivi nani atakupenda pasipo hata na senti? Kuanzisha familia hatuangaliii sura ya mtu na moyo wa mtu tu. Sababu kama hali ya uchumi wa mtu ni muhimu.
Nani anapenda kulala njaa, au wanawe washindwe kusoma kisa eti anaupendo wa Dhati? Hakuna upendo usio na sababu. Binafsi siwezi kutengeneza mahusiano ya ndoa kwa mwanamke ambaye atanilalia. Hili lipo wazi labda muendelee kujipa mioyo tu.
tutafute pamoja alafu tukipata uanze kuhonga wakina wema? Wee tafuta tu ukipata njoo tuowaneWe jamaa acha mambo yako, hivi unadhani upendo ungekua unaangalia pesa wewe ungekua na mwanamke? wanawake wote wangeolewa na akina Manji, Mengi, Bakhlesa na wengine wenye pesa zao ila wewe na hele yako ya kula usingepata kitu. kama wanataka wachumba kweli wajitoe muhanga ile tuje tutafte pamoja na si kutaka miteremko
Yaani humu kila anayepost husingiziaga rafiki yake. Duh!hahahaaaa!!! mkuu picha ya nini tena mimi ni mpya humu lakini nimepata malalamiko kwa rafiki zangu waliokua member nikaona nijiunge ili kufikisha huu ujumbe kwa wahusikia
Sawa mkuuSio kweli
Nielewe vizuri upendo sio pesa ila pesa inamchango kwenye kupendwa na kupenda.We jamaa acha mambo yako, hivi unadhani upendo ungekua unaangalia pesa wewe ungekua na mwanamke? wanawake wote wangeolewa na akina Manji, Mengi, Bakhlesa na wengine wenye pesa zao ila wewe na hele yako ya kula usingepata kitu. kama wanataka wachumba kweli wajitoe muhanga ile tuje tutafte pamoja na si kutaka miteremko