Tanzanian lady
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 261
- 320
Heshima yenu wakuu
Niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikiona watu wengi wasomi, maarufu na Wenye pesa wakioa wanawake vimodo yaani kwa Lugha nyngine vimbau mbau
Research hii ni tofauti ukilinganisha na wale wenye maisha ya kawaida au maisha ya chini wale wenye elimu ndogo wanaooa wanawake wenye misambanda kama mnavyoita wenyewe
Unadhani ni kipi haswa kinachopelekea jamii hizi kuwa na wenza wa namna hizi
Karibuni wenye uelewa Mpana wa haya mambo!