Wanawake Versis Wanaume

ni kweli, ila wakati mwingine wanaume kama runajikita kabisa kutumia akili ualinifu nafasi na thamani yetu kubwa sana
 
Ngoja ni chat kwanza, nitalala baadae, ila huyu mwanamke pembeni yangu ana chat na kulala kwa pamoja... Kweli wameumbiwa uwezo wa kufanya mengi kwa pamoja.
 
Hiyo namba 5 hujakosea mkuu, yaan hawa mama zetu ,dada zetu, shangazi zetu, wake zetu, wifi zetu, shemeji zetu acha tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…