Anataka wenye kazi mama....anaenda kugegeda vyeti vyako vya darasani...wewe hunaa,tukae tu pembeni
Uwe tayari kuhakiki vyeti vya kuzaliwa...! Wadada wamekuwa mahiri kughushi umri wao..!
Uwe tayari kuhakiki vyeti vya kuzaliwa...! Wadada wamekuwa mahiri kughushi umri wao..!
mbona unatuharibia mshkaji.!!! mtoa mada cam zis way nna miaka 22.
haswaaaaaaa tena hata haijatimia vizur hadi mwez wa 12 ndio itakuwa timilifu
umejuajeeee! halafu nilisahau kumbe nna miaka 21. huo mwez wa 12 ndo natimiza 21.
Mkwe kumbe umenizidi umri? Aisee, shkamoo mwali wangu
hehehe! marahaba mkwe ingawa najua wewe kwa mwaka una birthday nne na umri wako tangu mwaka 2000 hauongezeki upo palepale. ndo tuseme unakua kurudi nyuma mkwe au!!!???
nakuonea wivu mkwe! mwenzio nna birthdays mbili tu. sijui nikuzime nusu birthday ili twende sawa!!Hahaha mwaka 2000 nilikuwa sikwalifai kugombea umiss tz. Toka 1992 umri umegota aisee. Besdei unanisingizia banaa, zinakuwaga tatu sio nne
Lugha na hesabu ni ngumu mkuu."Under 26-20" au "wanao-range from" 20-26(yrs)?Uliwachanganya,watakuja,poa mkuu wangu!