Wanawake under 26-20 wamekuwa adimu?

Wanawake under 26-20 wamekuwa adimu?

Dont go away

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
501
Reaction score
208
Jana niliweka hapa bandiko langu la kutafuta mwanamke mzuri kwa maana ya tabia, umbo la wastani au mwembamba (mobitel) na mrefu wa wastani tu, aliye na kazi sasa sijapata mwenye sifa hizo hadi sasa.

Nilisema mimi nimeajiriwa na nina miaka 29.

Mwanamke yeyote aliye tayari lakini awe na ajira au anayetegemea kupata kazi na mpenda maendeleo, kama ni mwalimu itakuwa vzr zaidi au hata kama c.mwalimu siyo mbaya.

Aliye tayari Ani*****PM****

Note😛lease awe serious sana na awe mwelewa zaidi.
 
,nipo hapa mkuu, expected teacher in 2015, mwembamba mrefu and 25 yrs
 
Hivi huko makanisani, mtaani kwenu hakuna watu? Ukiona watu wanakimbilia huku jua wana mengi maovu wamefanya na huku wanakuja ficha uovu wao
 
Ahahaaaaaa hapa utata mtupu
Hiv unatafuta mke au unatafuta kaz.
Au unatafuta mke mwenye kaz
Au unatafuta pesa upate unafuuu wa maisha.
 
Lugha na hesabu ni ngumu mkuu."Under 26-20" au "wanao-range from" 20-26(yrs)?Uliwachanganya,watakuja,poa mkuu wangu!
 
Uwe tayari kuhakiki vyeti vya kuzaliwa...! Wadada wamekuwa mahiri kughushi umri wao..!
 
Jamani mpeni namba ya Sitti Mtemvu SI yumo ndani ya hiyo age!
 
Back
Top Bottom