Wanawake: Ukimpenda mwanaume mtongoze

Wanawake: Ukimpenda mwanaume mtongoze

Hivi kwanini mwanamke akimpenda mwanaume anapata shida sana ataanzaje kumwambia, mwanamke kikawaida akimpenda mwanaume anamuonesha 'signals' ishara ila ukiiona mwanaume haelekei kuja kukutongoza mfuate, anza kutongoza!

Na nyie wanawake pia mmeumba na hisia tena kali kuliko za mwanaume, ukimpenda mwanaume na kumuonesha ishara na kuona haelekei mfuate mtongoze!

Mimi hadi kuandika hii post kwa hili group ni Mtoto wa kiume ambaye tangu utotoni had sasa hivi kote niliko pita nime...kutana na wanawake wengi waliotokea kunipenda, baadhi walijitoa muhanga kuja kunitongoza kama 20% ila 80% walio baki waliishia kunionesha signal na kushindwa kunifuata,

Alafu wanawake mnanichekeshaga sana mkitokea kumpenda mwanaume na kushindwa kumwambia moja kwa moja utasikia, bariki una macho mazuri, cjui una kifua, utaskia mmmm umependeza hata kama umevaa magunia, utaskia mmmm una akili hata kama ulipata division 0, Yan atakupa sifa za kila aina na nyingine unakuwa hata hauna ila anakusifia tu ili apate attention yako kwake na ni sub conscious mind, anaweza fanya hivyo bila kugundua kama anafanya,

Wanawake mnanichekeshaga sana aisee Dah! Kwa ushauri wangu kwenu wanawake, ukimpenda mwanaume go straight mtongoze mwambie nakupenda, usianze kuzunguka zunguka na nyie pia mliumbwa na emotion tena kali kushinda hata zetu wanaume,
Wanakuja mkuu kufunguka..usicheze mbali..nataka watuelezee kwa nini wanatuonea aibu...
 
Mwanamke akimtongoza mwanaume anaonekana Malaya. Ndio maana wanabaki na mengi moyo.
 
Hilo linawashinda hadi wanaume ujue!! Lakinii sio huofia kuonekana mhuni fulani hivi, sijui kwa nini jamii imejiaminisha hivyo!!
Hivi kweli sakayo nishindwe kukuambia nakuhitaji maishani huyo atakuwa sio mwanaume huyo
 
Unapenda kutongozwa na wanawake inaelekea!!! Sioti kuja mtongoza me km una kizuri cha kusifiwa ntakusifia lkn haimaanishi kwamba ndo umetakwa kimapenzi
Kati yako we na mumeo nani alianza kumpenda mwingine
 
amna nilikuwa namaanisha wakitoa signals na kuona man haelekei ndo wawe na ujasiri wa kutongoza, mwanamke ni kama kitabu ili umsome kama amekukubali unahitaj steps kadhaa na sio wanaume wote wana uwezo huo
Mkuu akijitongozesha tu ujue huyo atakuwa kwaajiri ya kukufurahisha ni sio kufurahia upendo wa pamoja
 
Aisee. Sijui mie mgonjwa sijawahi fikia hiyo hatua ya kumtamani mwanaume hadi niwaze kumtongoza.

Mnataka kuja kumkashifu mwanamke sio bure. Nyie ndio mtuanze bana na sio sisi hata hainogi kwa sababu mwisho wa siku unaweza taka hadi nikupe hela ya matumizi kisa tu nimekutongoza.

Akaaaaaa.
 
Aisee. Sijui mie mgonjwa sijawahi fikia hiyo hatua ya kumtamani mwanaume hadi niwaze kumtongoza.

Mnataka kuja kumkashifu mwanamke sio bure. Nyie ndio mtuanze bana na sio sisi hata hainogi kwa sababu mwisho wa siku unaweza taka hadi nikupe hela ya matumizi kisa tu nimekutongoza.

Akaaaaaa.
 
Yaani unataka mwanamke akutongozee? Kweli wanaume wameisha wavulana mnatuharibia sifa wanaume
Kweli kabisa pia ni ile hali ya kutaka kumfanya mwanamke awe mnyonge kwa sababu hata kakitokea ka ugomvi atakuwa na sababu kibao zikiwemo we si ndio ulinitongoza kwani nilikuwa nakutaka mie na nyingine nyingi.
 
Kweli kabisa pia ni ile hali ya kutaka kumfanya mwanamke awe mnyonge kwa sababu hata kakitokea ka ugomvi atakuwa na sababu kibao zikiwemo we si ndio ulinitongoza kwani nilikuwa nakutaka mie na nyingine nyingi.
Yaani mwanamke wa kujitongozesha siku zote hutumika kama chombo cha starehe

Maana muda wote ataishi kwa kuheshimu na kutii hata yasiyo ya kutii na utakuwa upendo wa upande mmoja
 
Back
Top Bottom