Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Ha ha ha,kuliko kipande cha nyama kuila,una roho ya KIMACHAME WEWE,mmmhBora nyenyere ale
Ha ha ha,kuliko kipande cha nyama kuila,una roho ya KIMACHAME WEWE,mmmh
tunajua...
kwa sababu sitaki kumpa
Unasemaje..? Hutaki kunipa haki yangu..?
ndiyo kama ni haki yako si ungetembea nayo wewe
Hahahaha haya bwana
baada ya kuandika hapa pm yangu imejaa watu wanataka mawasiliano yako vip niwape maana umeniuzisha sura kishenzi
wakupe ela kwanza.. usitoe # yangu bure