Tusaidiane wandugu. Kwa watumiaji wa pads za HQ.kuna kaubaridi flani Mimi binafsi huwa nakafili alafu kanakuwa kama kaubaridi ka pipi kifua na kuna wanawake niliwahi kuwauliza kuhusu hiyo hali wakaniambia nao huwa wanakafili.sasa swali jeee hako kaubaridi hakana madhara kwenye papuchi?
Mh!!
Sijui kwa nini mie ni muoga kuufanyia majaribio mwili wangu.
Hizo HP nazisikia tu ila sijawahi kuzitumia. Ngoja wenye ufahamu waje nami nijifunze hapa ila kwa ushauri tu wanawake tuache kujaribu kila pads zinazoingia sokoni.
Yale maeneo ni nyeti na very sensitive.
Si kila kiingiacho mjini ni dhahabu!!
Maskini papuchi yangu Kale kaubaridi sasa.? Ni nzuri kwa kuwa haijikunji kwa nyuma kama zile nyingine na ni pana ikisaidiwa na mabawa sasa pale kati hata ukiivua unakafili ka ubaridi hata ukishika papuchi utadhani uliiweka kwenye friza ndo umeitoa

Kale kaubaridi ni kwa ajili ya kuvuta uchafu kama upo ukeni ni material yake na kwa kazi kama hiyo na ukitaka ku proof ukivaa mbili au tatu mwisho zinazoendelae hazitoi ubaridi tena maana yake zilizotangulia zimeshasafisha.