Hapa sijui kama utaeleweka.Habari wana JF,
Naimani wote muazima kwa uweza wa mwenyezi Mungu,
Nje hovyo anaestaili kuyaona ni mumeo aliekuoa ndio maana wanaume wanatuzarau sana na tunajidanganya kuvaa nguo za kuonyesha maungo yetu sio kwamba ndio tunafanikiwa kupata mume tutaishia kufunuliwa na kuachwa pia hata ukiolewa utaolewa na mwanaume mwenye akili kama zako huwezi kuolewa.
Huo mcheko sasa[emoji5]hahahahahahahahhah umeonaeeeee
"Utamaduni wa mtanzania" ni upi?Ushasema nchi za kibepari ila hapa ni Tanzania kila nchi inamaadili yake Na tamaduni zetu pia sio heshima uko nchi za wenzetu hizo nitamaduni zao ndio maana unaweza kuta binti kavaa nusu uchi kabisa kakaa Na baba yake je hapa inawezekana
Kama mtanzania lazima ujue tamaduni zenu kama hujui basi"Utamaduni wa mtanzania" ni upi?
Kama mtanzania lazima ujue tamaduni zenu kama hujui basi
Okay haina aja ya malumbano tufanye hivi wewe baki Na mtazamo wako namimi nibaki nahuu mtazamo wanguKama mwanamke lazima utambue hayo uloandika pia ila mbona umeyaandika?
Anyway nilikuwa nakustua tu kuwa utamaduni ni mpana sana na kwasababu ya kuwa na makabila tofauti toafauti hatuna utamaduni unoeweza kuitwa moja kwa moja kuwa huu ni "utamaduni wa mtanzania". Ndio maana hata vazi la taifa lilishindikana.
Ukimuunga samaki umuunge wote usiseme nakuunga kiwili wili lakini mkia hapana.Nakuunga mkono ila hapo pa kuzungushana unatuonea.
Ni vyema tukajisitiri hata kama tupo katika maisha binafsimaelezo mazuri
ila ila pesa zake usimpangie maisha.
haya mambo ya kumcontrol mtu nawakati yupo kwake nivigumu mno.
kilichobaki ni kujionea maonesho ya miili tu sikuizi.
ukiona hivyo ujue hadi moyo umefurahi wenyeweHuo mcheko sasa[emoji5]
Haya.Okay haina aja ya malumbano tufanye hivi wewe baki Na mtazamo wako namimi nibaki nahuu mtazamo wangu