Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
- Thread starter
-
- #21
Ushasema nchi za kibepari ila hapa ni Tanzania kila nchi inamaadili yake Na tamaduni zetu pia sio heshima uko nchi za wenzetu hizo nitamaduni zao ndio maana unaweza kuta binti kavaa nusu uchi kabisa kakaa Na baba yake je hapa inawezekanaMaungo gani yanayo onekana?
Mwanamke ni papuchi na maziwa ndiyo hayapaswi kuonekana.
Lkn mapaja, sijui tumbo hvyo ni vitu vya kawaida sana.
Tatizo African tunaendekeza Ngono sana, na pengine hatujazoea, lkn km mtu umeishi Nchi za kibepari, huwezi andika uzi km huu.
Sawa mdogo wangu hivyo usije kushangaa pale mtu mwingine atakapokuja na kuona ulivyoviandika havina maana.
Ila nakutafutia zawadi aisee mana leo umenifurahisha sana maana katika maisha yetu haya kukumbushana ni jambo la muhimu.
Miss chaga mzoeeeSafi sana wanawake kama wewe ni wachache sana, acha kina miss chaga maana jana nimeona anawapotosha wenzake sijui watumie kondomu, sijui waombe pesa..
Nyie ndio wanaume matapeli Wa mapenziUKINIZUNGUSHA NAENDA KUMTONGOZA MWINGNE.
Halafu hzo picha za uch ni muhmu kwa ajili ya kumbukumbu na tool muhmu kwa CHAPUTA
Usijali mdogo wangu karibu sana.asante dada kwakujali wazo langu
Maungo gani yanayo onekana?
Mwanamke ni papuchi na maziwa ndiyo hayapaswi kuonekana.
Lkn mapaja, sijui tumbo hvyo ni vitu vya kawaida sana.
Tatizo African tunaendekeza Ngono sana, na pengine hatujazoea, lkn km mtu umeishi Nchi za kibepari, huwezi andika uzi km huu.
Usijali mdogo wangu karibu sana.
tatizo EASY GO wamekuwa wengi hivyo hata wanaume hawana haja ya kumwaga lughaSawa mdogo wangu hivyo usije kushangaa pale mtu mwingine atakapokuja na kuona ulivyoviandika havina maana.
Ila nakutafutia zawadi aisee mana leo umenifurahisha sana maana katika maisha yetu haya kukumbushana ni jambo la muhimu.
Sure. Unaweza mzungusha mtu kumbe ndio unapeperusha ndege. Kama hutaki ni NO sio Nipe muda nifikirie. Hiyo ni zilipendwaIla hapo kwenye kumpa ugumu ugumu mwanaume personally sipapendi, mm demu akinikataa Mara moja ndo kwaheri, half mademu wanaokuaga wagumu mwanzoni, Mara nyingi hawanaga mapenz ya kweli, speaking from my experience
Ukiona mwanaume unamzungusha anakata tamaa huyo alikuwa nia yake aguse asepe
Sasa sinimempenda naitaji kudumu nae lazima kidogo asumbukeHapana, tuwe wakweli hata ww ukimpenda mwanaume toka moyoni, akikutongoza haitachukua 1 week Tayar keshakupata, hao wanaume unaowazungusha for 6 months haupo serious nao Doris Gabriel
hahahahahahahahhah umeonaeeeeeNakuunga mkono ila hapo pa kuzungushana unatuonea.
Unasemaaaaaa...!?Ni kweli hata shetani alianza kumdanganya Hawa sawa ila tunapaswa kuwa jasiri Mimi hata uje umesomea kunitongoza sisubutu kukubali sikuhiyohiyo
Basi zidi kufurahi mdogo wangu tayari nipo dada yako.nimefurahi kupata Dada maana Mimi nimezaliwa peke yangu katika tumbo la mama yangu nikipata Dada nafurahi nikipata kaka nafurahi
Hahaaaa.tatizo EASY GO wamekuwa wengi hivyo hata wanaume hawana haja ya kumwaga lugha