Baada ya kufanya utafiti wangu nimekumbana na kaluli hii " Alinisumbua saana kwa siku nyingi ... nikaamua nimkubali". Je ni kweli unaweza kumkubali mwanaume kisa eti amekusumbua sana?
Tafadhali akina dada fungukeni hapa kama kweli tukiwa wasumbufu tutafanikiwa.