Wanawake tunapenda hivi...

Haya yote hayana maana kama mwanamke hajavutiwa kimapenzi na wewe, mwanaume utayafanya haya yote na zaidi ya haya, lakini kama mwanamke hakupendi, you'll get almost nothing in return realMamy Dr. Mariposa
 
Kweli vipaumbele na mahitaji kwa Wanawake yanabadirika kila muongo

Sisi miaka yetu ya 47, bibi zenu hawakuwa na na haya mahitaji yenu

Nilipojichanganya kuongeza mke wa tatu miaka ya 2010' hapo ndiyo nikakutana na haya mahitaji/vipaumbele

Hadi nikahisi ananifanyia kusudi nijutie kumfanya mke mdogo 🙌
 
😅😅😅😅 Tunabadilika kulingana na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…