Mchumba unae lkn?!...[emoji6][emoji23]Wewe ndo unashtuka saiviii poleeee!!!
Mie sinaga rafiki wa kike kabisaa wala sitaki, ukiwa na shida nitakusaidia nawe nikiwa na tatizo nisaidie lakini sio ushost wa kupeana sijui simu, pochi, nguo urafiki wa hivyo siutaki kabisaa kila mtu afanye yake, hayo mengine ni unafiki tuuu
Jana, 1 February 2017.Tarehe ya moja ya mwezi wa pili??
Mkuu umechelewa,mimi sina rafiki nina watu niliozoeana nao tu!Hivi sisi hatuwezi kuwa marafiki mpaka tusemane vibayaa,,yaan usipomsema mwenzio unaona siku haiendii au inakuwajee,,,unakuta unakuwa na rafiki mnasaidiana kwa hali na mali lakin au akiwa na shida unamsaidia tena vya kwake mchoyo kwelii,unajitoa kwa kila kitu lakin utakuta linakusema vibaya sijui ni wivu,chuki hata sielewii aisee..
Hii tabia tunayo sana wanawakee tubadilikee jamani,maisha yashakuwa magumu maneno ya nini[emoji34][emoji34]
Mim nishaamua sasa niwe mwenyewe tu sitaki marafiki maana ukigeuza tu mgongo wauaji,,halaf ukitaka kukumbuka kitu ambacho umemuudhi huoni,,au ukimuuliza anasema hakuna kitu yaishe tu nisamehee
Au wengine bila kusema wenzao siku haziendi vizuri "lazima tuji control "
Yaan nishaamua toka mwaka jana hakuna rafiki yeyote kushika simu yangu ,wala kujua password ,misele yangu napiga kimya kimyaa,,sitambulishi mpenzi wangu tuonane wenyewe tu
Maana maneno mengiii mpaka unachoka
Wanawake sisi ni kibokooo
ahaaaaWanawake hata humu mnatupanga sn foleni...namm nmeamua kuanzia tarehe 1 niwe mwnyw tu...[emoji23][emoji23]
hebu anzishaWnawake kuongea hard topics ni ngumu
hebu anzisha
mashost zangu ndo walionifundishaTena kama wewe Miss Natafuta utakuwa unasemwa sana kuhusiana na swala lako la kutovaa chupi.
mashost zangu ndo walionifundisha
Kuna wengine unakuta mpaka kuvaa wanavaa sare na usiombe siku watibuane watatoleana siri zao zote mpaka za ndani.Wewe ndo unashtuka saiviii poleeee!!!
Mie sinaga rafiki wa kike kabisaa wala sitaki, ukiwa na shida nitakusaidia nawe nikiwa na tatizo nisaidie lakini sio ushost wa kupeana sijui simu, pochi, nguo urafiki wa hivyo siutaki kabisaa kila mtu afanye yake, hayo mengine ni unafiki tuuu
Yupo sana tuMchumba unae lkn?!...[emoji6][emoji23]
Dinazarde umeongea ukweli haswaaHivi sisi hatuwezi kuwa marafiki mpaka tusemane vibayaa,,yaan usipomsema mwenzio unaona siku haiendii au inakuwajee,,,unakuta unakuwa na rafiki mnasaidiana kwa hali na mali lakin au akiwa na shida unamsaidia tena vya kwake mchoyo kwelii,unajitoa kwa kila kitu lakin utakuta linakusema vibaya sijui ni wivu,chuki hata sielewii aisee..
Hii tabia tunayo sana wanawakee tubadilikee jamani,maisha yashakuwa magumu maneno ya nini[emoji34][emoji34]
Mim nishaamua sasa niwe mwenyewe tu sitaki marafiki maana ukigeuza tu mgongo wauaji,,halaf ukitaka kukumbuka kitu ambacho umemuudhi huoni,,au ukimuuliza anasema hakuna kitu yaishe tu nisamehee
Au wengine bila kusema wenzao siku haziendi vizuri "lazima tuji control "
Yaan nishaamua toka mwaka jana hakuna rafiki yeyote kushika simu yangu ,wala kujua password ,misele yangu napiga kimya kimyaa,,sitambulishi mpenzi wangu tuonane wenyewe tu
Maana maneno mengiii mpaka unachoka
Wanawake sisi ni kibokooo
Hamna ushost mbaya kama huo, wanawake bwanaaa sie wenyewe kwa wenyewe hatupendani ni wachache saaana wenye urafiki wa kweli.Kuna wengine unakuta mpaka kuvaa wanavaa sare na usiombe siku watibuane watatoleana siri zao zote mpaka za ndani.