Wanawake tulieni na ndoa zenu

Kweli.mtabiri wameshasema ni necha.

Mie kuflirt siachi labda macho yakizeeka niache kuona wakaka watamu watamu
Ha ha ha wakaka watamu watamu
Nakuombea macho yaone hadi ukiwa na miaka 100, sema Amina.
 
Binafsi sina muda wa kumfuatilia mke....But bahati mbaya nikamshika....sipati picha....
Kitu ambacho ni constant ni kwamba lazima ndoa ife....kinachonitisha ni mpaka hiyo ndoa inakufa sijui tutakua kwenye hali gani....
 
Kaacheni kahonert kangu mi sha kazoea kanapenda porojo sana

All in all siku zinakwenda

Hornet wangu baaas imetosha kisura wangu
 
Kaacheni kahonert kangu mi sha kazoea kanapenda porojo sana

All in all siku zinakwenda

Hornet wangu baaas imetosha kisura wangu
Hahaaa umenikumbusha mbali na haya maneno [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hapa nacheka kama chizi
(laughing is my favorite thing)

Hata jamaa alivyokua anajibu najikuta nacheka natafuta style ya kumjibu ili ashushe gazeti
 
Kwa hiyo kama mtu hapati mahitaji yote

Kurukaruka ruksa.

Mie kuflirt siachi ng'oo
Mwanamke ananyege za aina mbili ya kwanza ya kutaka mashine na ya pili ya kutaka kutongozwa tu yaani atongozwe tu hata asipokubali ila atongozwe tu...naona hii ya pili inakusumbua....ingawa ni kipimo kwamba hujiamini
 
Hamna kitu nachukia kama kutongozwa

Yaani kwanza sikumbuki lini niliruhusu hiyo nafasi

Kutongozana ni utoto.
Kwangu mambo huende straight siyo kutongozana.
Pole mwenye macho ya rohoni umefeli kuona.
 
Hamna kitu nachukia kama kutongozwa

Yaani kwanza sikumbuki lini niliruhusu hiyo nafasi

Kutongozana ni utoto.
Kwangu mambo huende straight siyo kutongozana.
Pole mwenye macho ya rohoni umefeli kuona.
Unajua maana ya ku flirt...au kujibebisha sasa uta flirt uache kutongozwa?hahaha halafu eti nachukia kutongozwa khaaaA embu ona aibu kusema hivo
 
Unachukia kutongozwa hlf unapenda ku flirt[emoji23][emoji39][emoji39][emoji39]mrudi kwenye dictionary
 
Unajua maana ya ku flirt...au kujibebisha sasa uta flirt uache kutongozwa?hahaha halafu eti nachukia kutongozwa khaaaA embu ona aibu kusema hivo
Hahaaaa hahahaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
HUKUMPENDA period.
 
Hahaaaa watu humu wanajifanya wasaaaafi wakati tunajaa nao pm na lodge kila kukicha

Wao wake zao hawaumii eeeh
Humu si wasafi woote, sie ni waaminifu katika ndoa zetu kasoro wewe tu ha ha itabidi tukuleftishe humu utatuharibu wewe
 
Unaolewa na mwanaume ambaye hamfanyi hata jokes, lazima uanze kuflirt na wengine, na unaujua mwisho wa flirting ni kutafunana.
Eli nawe unasemaga unaflirt na unakapenda kamchezo, kwani mkeo hamfanyiani jokes?
 
Tatizo ni tabia yake aliyokua nayo kabla hajaolewa! anaendeleza kamchezo chake cha kupigwa na wanaume wengine,ndoa nyingi sikuhizi ni za kuvaa tu pete lakini matukio ya humo ndani ni hatari tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…