Safari ya kikaziImemikumbusha shost yangu kilichomtokea. Mume wake alikwenda Ujerumani safari ya kizazi. Ni dada baada tu ya kumshusha hubby Airport alitupigia simu mamemba wa club ili Ijumaa tukayarudi.
Tulikuwa na dereva ambae vyulihakikisha hapigi pombe alitushusha wote kila mtu nyumbani kwake
Tumefika kwa shost tunamkuta mumewe yuko barazani anamsubiri, pombe zote zilikwisha alikuwa sober
Kumbe mumewe alihitajika haraka kazini na safari kufupishwa ghafla.
nyie mnavyorukaruka ina maan mliowaoa hamjaridhika nao mleta madaSijaamnaisha hivyo, ndio maana nikasema mwishoni kwamba olewa na mtu amabe umeridhika nae kwa kila kitu ikiwemo mali mana kuna wanawake wanapenda wanaume wenye uwezo.
Hivi mnaishi ndani hamuelewaniNimependa sana mawazo yako Hornet ,ni very challenging hasa kwa jamii yetu hii iliyoathirika na maisha ya kuigiza zaidi
Ni kawaida tu hawatakuwa wa kwanza wala wa pili
Kwani mzazi mmoja akifa wanakuwaje?
Binafsi sijinyimi raha ya dunia kwa ajili ya mtu.
Moto nilishauona toka nimezaliwa na kwa sasa ni muendelezo tu
Wala sijali saana.
Mtu akiamua kuondoka aende tu akiamua kubaki abakie.
I live once no need to pretend
Kazi kweli kweliHivi mnaishi ndani hamuelewani
Watoto wanaobserve kuanzia umri mdogo mpaka wanakua!
Ni kitu gani wanajifunza?
Unakuta mama anavumilia vipigo na kejeli kila siku mtoto wa kiume nae akikua anakuwa na tabia hizo hizo anaamini ni kawaida kumdhalilisha mwanamke!
Si bora mtu awe single.
Tuachane na hayo tuje kwenye swala la kucheat,
Mwanaume anacheat bila woga anamuweka mkewe katika mazingira gani?
Ni kwa sababu tumeumbwa wepesi wa kusamehe?
Mie nikimuelewa mtu nampa chance.
Hivi una nini lakini 😀😀😀Kwa hiyo kama mtu hapati mahitaji yote
Kurukaruka ruksa.
Mie kuflirt siachi ng'oo
Nilishashikwa wala siyo mara mojaMzazi kufa ni tofauti na wazazi kutengana.
Tena mzazi akifa,wanaoachwa bond inakua stronger zaidi.
Wazazi waliotengana ni tofauti kabisa mkuu.Hapa tunaongelea Psychology!
Halafu kutokana na majibu yako inaonesha kuna past majeraha unayo.Effect hiyo!
Halafu swali dogo tu...Umeolewa?Na ndoa yako ina function?Itakua bado,au ulishatoka!
Ingia,jaribu unachosema halafu ushikwe halafu uone Hiroshima itakayotokea!Halafu haishii hapo,it will haunt you forever.Marriages kill or make people forever!When I hear neno "marriage",I sober up quick!Whether unataka au hutaki,you have to behave,tena kwa mwanamke ni mandatory!
Hii ndio reality mama,ukiponea shukuru mungu sana!
Hahaaaa watu humu wanajifanya wasaaaafi wakati tunajaa nao pm na lodge kila kukichaHivi una nini lakini 😀😀😀
Hivi mnaishi ndani hamuelewani
Watoto wanaobserve kuanzia umri mdogo mpaka wanakua!
Ni kitu gani wanajifunza?
Unakuta mama anavumilia vipigo na kejeli kila siku mtoto wa kiume nae akikua anakuwa na tabia hizo hizo anaamini ni kawaida kumdhalilisha mwanamke!
Si bora mtu awe single.
Tuachane na hayo tuje kwenye swala la kucheat,
Mwanaume anacheat bila woga anamuweka mkewe katika mazingira gani?
Ni kwa sababu tumeumbwa wepesi wa kusamehe?
Mie nikimuelewa mtu nampa chance.
shhhhhh necha mama necha, si unajua hiyo ni necha yetu wanaume ila sio nyie wanawake.nyie mnavyorukaruka ina maan mliowaoa hamjaridhika nao mleta mada
Weee kaka kwani lazima niishi kwa principle zako?You have to check yourself why all this fracas on you from him?
Wanaume ku-cheat sio leo au jana,ni toka enzi za BC,jifunze how to handle that kutoka kwa wanadamu waliokuwahi kuishi!
Najua ni frustrations.
Usishindane nae,u will loose!Victims watakua wewe na watoto.Does it worth it?
Haya leave him,effects za post-marriage breakage pambana nazo for the rest of your life.Huge baggage aisee!
Kweli.mtabiri wameshasema ni necha.shhhhhh necha mama necha, si unajua hiyo ni necha yetu wanaume ila sio nyie wanawake.
Mi simooooo
Naomba ni mimi niflirt na weweKwa hiyo kama mtu hapati mahitaji yote
Kurukaruka ruksa.
Mie kuflirt siachi ng'oo
Ngoja nikuupdate kwenye list.Naomba ni mimi niflirt na wewe
Unaolewa na mwanaume ambaye hamfanyi hata jokes, lazima uanze kuflirt na wengine, na unaujua mwisho wa flirting ni kutafunana.Kwa hiyo kama mtu hapati mahitaji yote
Kurukaruka ruksa.
Mie kuflirt siachi ng'oo
Nilishashikwa wala siyo mara moja
So i dont give a shit,
Mie nikimuelewa mtu hata simuachi.
I live once na usitake maisha yako yafanane na kila mtu.
Na hata Mr anaijua Id yangu na ana access ya kusoma hapa.
Kila mtu na ladha yake bwanaUnaolewa na mwanaume ambaye hamfanyi hata jokes, lazima uanze kuflirt na wengine, na unaujua mwisho wa flirting ni kutafunana.
Mumeo anajua? Anajisikiaje kama anajua kuwa mkewe sio faithful kwa mume na watoto?Ya wewe kucheat au kucheat na mimi?
Kama ya wewe kucheat haya
Ila kama ya wewe na mimi hapana,
Huwa napiga one night stand
Kaandike kitabu naona una mineno miiingiMpaka amekushika kabisa?Tena mara nyingi?Aiseeeee!
Atakua hajakushika aisee,Im sure of that!Wanaume wengi wakimshika mwanamke ana-cheat then ndoa ndio inakua dead for good,atahama au hata kama atakuwepo,atakua hayupo kabisa!
Hizi frustrations zako zote hapa ni outcomes za dysfunctional marriage.
Wewe umeenda too far,na effect utaipata wewe hapo na watoto wako mwenyewe.
Nachoona,baba anacheat,dawa sio wewe kucheat.Huyo mwanaume unaedhani hacheat utampata wapi ndugu yangu?Nowhere!