Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,056
- 12,916
Ni breed mpyaWanaume kwanini mmekua watu wa kulia lia kama wafiwa???kwani mmekuaje??
Watangazaji, wakina Mama wanaoalikwa na motivational speakers wa kwenye tv na redio ni kirusi kingine Cha ndoa.Juzi naona Carol Ndossi anasema mwenza kushika simu ya mwenzie ni kosa kisheria hata sijui sheria yenyewe kaitoa wapi, madanga na malaya wakashangilia sana.
Btw watu wamekua sio waaminifu tena uzinzi umetawala kila kona na hawa motivation speaker kwa kutaka ku-gain followers na kupiga pesa wamekua wakiwahadaa kwa maneno ya negative ili wawasapoti.
Mwingine utasikia anawaambia mwanamke tafuta pesa yako ili mwanaume asikunyanyase, najiuliza kwanini wasitafute chanzo cha manyayaso, ama wasitoe darasa kwa hao wanaume wanaoona wa awanyanyasa wake zao.
So wanawa-motivate wanawake watafute pesa then wawe wababe
Hakika hii ni breed mpya, katika maisha yangu nilikua nikiona wanaume ni watu strong, ila hivi sasa....wengi ni midebwedo sanaNi breed mpya
Ila haina uvumilivu inaua tu, So jaribu utaona kitakachokukutaHakika hii ni breed mpya, katika maisha yangu nilikua nikiona wanaume ni watu strong, ila hivi sasa....wengi ni midebwedo sana
Soma Sheria Ya Tanzania Mbona Lipo Wazi.Juzi naona Carol Ndossi anasema mwenza kushika simu ya mwenzie ni kosa kisheria hata sijui sheria yenyewe kaitoa wapi, madanga na malaya wakashangilia sana.
Btw watu wamekua sio waaminifu tena uzinzi umetawala kila kona na hawa motivation speaker kwa kutaka ku-gain followers na kupiga pesa wamekua wakiwahadaa kwa maneno ya negative ili wawasapoti.
Mwingine utasikia anawaambia mwanamke tafuta pesa yako ili mwanaume asikunyanyase, najiuliza kwanini wasitafute chanzo cha manyayaso, ama wasitoe darasa kwa hao wanaume wanaoona wa awanyanyasa wake zao.
So wanawa-motivate wanawake watafute pesa then wawe wababe
Soma Sheria Ya Tanzania Mbona Lipo Wazi.Juzi naona Carol Ndossi anasema mwenza kushika simu ya mwenzie ni kosa kisheria hata sijui sheria yenyewe kaitoa wapi, madanga na malaya wakashangilia sana.
Btw watu wamekua sio waaminifu tena uzinzi umetawala kila kona na hawa motivation speaker kwa kutaka ku-gain followers na kupiga pesa wamekua wakiwahadaa kwa maneno ya negative ili wawasapoti.
Mwingine utasikia anawaambia mwanamke tafuta pesa yako ili mwanaume asikunyanyase, najiuliza kwanini wasitafute chanzo cha manyayaso, ama wasitoe darasa kwa hao wanaume wanaoona wa awanyanyasa wake zao.
So wanawa-motivate wanawake watafute pesa then wawe wababe
Anasema "Mwanamke tafuta pesa yako" unajua wanawake wengi hawajui masuala ya pesa hata kutafuta, wanavutiwa na Furaha inayoletwa na pesa.Juzi naona Carol Ndossi anasema mwenza kushika simu ya mwenzie ni kosa kisheria hata sijui sheria yenyewe kaitoa wapi, madanga na malaya wakashangilia sana.
Btw watu wamekua sio waaminifu tena uzinzi umetawala kila kona na hawa motivation speaker kwa kutaka ku-gain followers na kupiga pesa wamekua wakiwahadaa kwa maneno ya negative ili wawasapoti.
Mwingine utasikia anawaambia mwanamke tafuta pesa yako ili mwanaume asikunyanyase, najiuliza kwanini wasitafute chanzo cha manyayaso, ama wasitoe darasa kwa hao wanaume wanaoona wa awanyanyasa wake zao.
So wanawa-motivate wanawake watafute pesa then wawe wababe
Mi sio kizazi cha breed mpyaIla haina uvumilivu inaua tu, So jaribu utaona kitakachokukuta
Ke ndo mizinguo, unamconvert kijana wa watu kuwa beta and you go *** a savage. Lazima alieWanaume kwanini mmekua watu wa kulia lia kama wafiwa???kwani mmekuaje??
PoleIla haina uvumilivu inaua tu, So jaribu utaona kitakachokukuta