kidomo
Member
- Nov 24, 2017
- 84
- 67
Umepatia sanawengi wenu wakipendwa, na wakajua kama wamependwa wanakuwa haweshi visa, unaweza jiuliza hivi naishi na mke ama naishi na msela mavi
Umepatia sanawengi wenu wakipendwa, na wakajua kama wamependwa wanakuwa haweshi visa, unaweza jiuliza hivi naishi na mke ama naishi na msela mavi
Umeonaeee. Na wala hawakuwa na ulalamishi.Wanaume wa zamani walikua wanajua majukumu yao haswaa tena kutunza mke ilikua ni proud kwao lakini hawa wa sasa looh utasubiri
Mbona hao wanaoanza kutupenda ndio hao wanatumwaga bila huruma? Au mi sijaelewa mada.!!Hahahaa. Na utandawazi huu ni wachache wanaotokea kumpenda mwanaume halafu wakafa na tai shingoni walio wengi wanajifungulia zao.
Na mwisho wake ndio hayo mahusiano hayastawi sababu kiuhalisia hakuna mwanaume anaweza tongozwa na mwanamke halafu akakataa yaani mpaka aonje ile P a p a ndio anaweza sepa asirudi tena.
Na ndio maana asilimia kubwa ya wanawake wanaishi/wameolewa na wanaume sio machaguo yao. Kama umeolewa na sio chaguo lako tegemea visa na vituko vya kila rangi, maana wewe sio chaguo lake anajilazimisha tuYa nini kufa na tai shingoni? Halafu utakuta wanawake mnasema yule hakiwa chaguo langu. Hilo chaguo unalipataje kama umempenda mwanaume lakini hana habari na wewe. Ndo concept inakuja ya mke kujiongeza.
Hahah!!....Aiseee
Hahah!!....
Ndio hivyo mkuu mimi kama KE simpendi yani simpendi tu ata aje kajipaka viungo vya pilau simuelewi tu ila tofauti na mimi nikimpenda KE atakama hanielewi ila kunauwezekano wa kunielewa baadae
Wanaume wa zamani walikua wanajua majukumu yao haswaa tena kutunza mke ilikua ni proud kwao lakini hawa wa sasa looh utasubiri
Hahaaaa. Ndio zenu hizo kaka.