Wanawake tukumbushane wajibu wetu

Wanawake tukumbushane wajibu wetu

ila uishi na mke utatakiwa kuwa harsh
.
mkuu kuishi na mwanamke unatakiwa uwe na akili tofauti na ile aliyokukuta nayo, yaani leo mstaarabu, kesho muhuni, leo kauzu, kesho katili kidogo, ndio mtaenda sawa, ukimpa upendo pekeyake atakuona punda yake
Well said mkuu.
 
Hahahaaa. Hata kama Mkuu.
Tatizo huwa mnaanza za kuleta ndo maana wanaume wanasepa. Mwanamke kama mtulivu siyo rahisi mwanaume kumkimbia. Tatizo wengine mmependana siku moja ana madai ya matatizo chungu nzima. Imapelekea mwanaume kudhani ulikuwa na nia ya kumchuna. Ndiyo maana wengi wanakimbiwa.
 
.....Wanawake wenzangu tujifunze kuwaacha wanaume watupende wao kwanza ndipo nasi tuwapende.... Upendo huo utadumu kwa muda mrefu maana hata maandiko matakatifu yametuasa kwa kusema "Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu" hivyo basi wanawake wajibu wetu ni kuwatii waume zetu kwanza hayo mambo ya kupenda tuwaachie wao wanaume. Maana nao maandiko yamewaambia hivi "Enyi waume wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa".......

Nimeongeza hili kwa siku ya leo. Asante sana Mleta Mada.
 
Tatizo huwa mnaanza za kuleta ndo maana wanaume wanasepa. Mwanamke kama mtulivu siyo rahisi mwanaume kumkimbia. Tatizo wengine mmependana siku moja ana madai ya matatizo chungu nzima. Imapelekea mwanaume kudhani ulikuwa na nia ya kumchuna. Ndiyo maana wengi wanakimbiwa.
Hahaaaa. Sasa huwa najiuliza kwani huyo mwanamke akikuomba pesa inakuwaje vigumu kumwambia kwamba huna au hata kumsema kwamba hiyo tabia sio ili kama wa kubadilika abadilike mapema. Kuliko huko kukimbia Mkuu.
 
Sisemi kuna ubaya kuomba ila zile frequency za kuomba zinakuwa nyingi na wakati mwingine maombi yanakuwa ya kiwango cha juu. Wanaume nao wana psychology ya kujua kama maombi ni genuine. Na mara nyingi wanaoachwa ni wale wanaopenda kuishi maisha ya juu wakati wanajua uwezo wao hauwaruhusu.

Hata ikitokea mwanamke akaambiwa huwa mnakuwa emotional na unaweza kumnunia mwanaume siku nzima..ikifikia hapo mwanaume anaona isiwe taabu anaamua kusepa.
 
Yani kaongea ukweli mtupu, yani hata kama wewe ni Mali ya mtu ukija kwangu mimi unanitaka sikatai nasuuza rungu kama kawa hahahaha Maisha bhana
Mim Mali ya mtu bhana siwezi kuwa na mabwana wawili wakati ni mtumwa mmoja
 
Hahahaha, kwanza hii mada ukiipeleka kijiweni eti kwa mfano unawahadithia sasa mimi maliyamtu ananitaka kimapenzi kwa mfano lakini sory maliyamtu sio kweli.

Ushauri utakaopata hapo kwa mameni wenzio yani ni mara kumi umgemuomba ushauri shetani

Yani ushauri utakaopata hapo ni zaidi wa shetani, utasikia

Usiache bahati hiyo, mwingine ukimuacha utaonekana hudindishi

Mwingine bahati haiji Mara mbili ohoooo

Mwingine anakwambia bahati hii ningeipata mimi mamaeeee nisingeilazia damu leo leo nakula mzigo Hahahahahahahaha

Wanaume sometimes akili zetu tunazijua wenyewe.
Hahaha wooii
 
Hilo tatizo la wanawake walio wengi. Inavyozidi kuongeza upendo anakuona kama boya fulani. Sijawahi pata jibu maana hata humu wengi wanataka mwanaume anayejali ingswa kiukweli hawapendi huko kujali kwenyewe. Wanaume walio wakali na wakati mwingine wakatili ndo wamedumu sana na wake zao. Wakati mwingine inanipelekea kutoa conclusion kwamba ila uishi na mke utatakiwa kuwa harsh.
Alieturoga bado hatujampata mkuu mwenyew natamani ningemuona
 
ila uishi na mke utatakiwa kuwa harsh
.
mkuu kuishi na mwanamke unatakiwa uwe na akili tofauti na ile aliyokukuta nayo, yaani leo mstaarabu, kesho muhuni, leo kauzu, kesho katili kidogo, ndio mtaenda sawa, ukimpa upendo pekeyake atakuona punda yake
Utatuua baba
 
Sisemi kuna ubaya kuomba ila zile frequency za kuomba zinakuwa nyingi na wakati mwingine maombi yanakuwa ya kiwango cha juu. Wanaume nao wana psychology ya kujua kama maombi ni genuine. Na mara nyingi wanaoachwa ni wale wanaopenda kuishi maisha ya juu wakati wanajua uwezo wao hauwaruhusu.

Hata ikitokea mwanamke akaambiwa huwa mnakuwa emotional na unaweza kumnunia mwanaume siku nzima..ikifikia hapo mwanaume anaona isiwe taabu anaamua kusepa.
Hahaaaa. Haya bana Mkuu.

Ila niseme tu sababu ndio dunia tuliyonayo sasa mengine muwe mnayavumilia tu na sio kusepa.
 
.....Wanawake wenzangu tujifunze kuwaacha wanaume watupende wao kwanza ndipo nasi tuwapende,,upendo huo utadumu kwa muda mrefu maana hata maandiko matakatifu yametuasa kwa kusema "Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu" hivyo basi wanawake wajibu wetu ni kuwatii waume zetu kwanza hayo mambo ya kupenda tuwaachie wao wanaume. Maana nao maandiko yamewaambia hivi "Enyi waume wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa".......

Nimeongeza hili kwa siku ya leo. Asante sana Mleta Mada.
Karibu sana mkuu
 
Hahaaaa. Sasa huwa najiuliza kwani huyo mwanamke akikuomba pesa inakuwaje vigumu kumwambia kwamba huna au hata kumsema kwamba hiyo tabia sio ili kama wa kubadilika abadilike mapema. Kuliko huko kukimbia Mkuu.
Na hapa ndo shida ya wanaume inapokuja hawapendi kabisa kuombwa hela sijui wameumbikaje yani
 
Sisemi kuna ubaya kuomba ila zile frequency za kuomba zinakuwa nyingi na wakati mwingine maombi yanakuwa ya kiwango cha juu. Wanaume nao wana psychology ya kujua kama maombi ni genuine. Na mara nyingi wanaoachwa ni wale wanaopenda kuishi maisha ya juu wakati wanajua uwezo wao hauwaruhusu.

Hata ikitokea mwanamke akaambiwa huwa mnakuwa emotional na unaweza kumnunia mwanaume siku nzima..ikifikia hapo mwanaume anaona isiwe taabu anaamua kusepa.
Mkuu pole maana nahisi umewahi kutana na hili janga la kufanywa ATM
 
Hahahaha, kwanza hii mada ukiipeleka kijiweni eti kwa mfano unawahadithia sasa mimi maliyamtu ananitaka kimapenzi kwa mfano lakini sory maliyamtu sio kweli.

Ushauri utakaopata hapo kwa mameni wenzio yani ni mara kumi umgemuomba ushauri shetani

Yani ushauri utakaopata hapo ni zaidi wa shetani, utasikia

Usiache bahati hiyo, mwingine ukimuacha utaonekana hudindishi

Mwingine bahati haiji Mara mbili ohoooo

Mwingine anakwambia bahati hii ningeipata mimi mamaeeee nisingeilazia damu leo leo nakula mzigo Hahahahahahahaha

Wanaume sometimes akili zetu tunazijua wenyewe.
Hahaaaa. Ndio zenu hizo kaka.
 
Back
Top Bottom