Wanawake tukumbushane wajibu wetu

Wanawake tukumbushane wajibu wetu

Vise versa is true. Kudumu kwa mahusiano kunategemea na wahusika ambao wamo wana azma gani.. mwanamke ana operate katika emotional state while mwanaume ana operate in logic. Siku zote haitawezekana mwanamke na mwanaume kuwa sawa.. kwenye mahusiano yoyote yale mmoja wao lazima awe na power juu ya mwenzake other wise mahusiano hayata dumu. And that is the truth
Ni kweli kabisa mkuu kwenye mahusiano lazima kuwe na kichwa na moyo kama wote mkitaka kuwa vichwa hayo mahusiano lazima yaporomoke

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaa. Na utandawazi huu ni wachache wanaotokea kumpenda mwanaume halafu wakafa na tai shingoni walio wengi wanajifungulia zao.

Na mwisho wake ndio hayo mahusiano hayastawi sababu kiuhalisia hakuna mwanaume anaweza tongozwa na mwanamke halafu akakataa yaani mpaka aonje ile P a p a ndio anaweza sepa asirudi tena.
 
Hahahaha umenena vyema
 
Hahahahahaha hahahaha, yani hiyo kutongozwa na mwanamke unaambiwa kukataa kwetu mwiko asilimia kubwa huwa hatukatai ukweli ubaki kuwa ukweli

Opportunity never comes twice
 
Hahahaaa. Ndio kweli huo ndugu yangu. Kwanza mna ile kwamba ukimkatalia mwanamke atahisi jogoo hapandi mlima. (ashakum si matusi kaka).

Na kweli kaka huwa haijirudii hiyo kitu aisee.
 
Hahahaha, kwanza hii mada ukiipeleka kijiweni eti kwa mfano unawahadithia sasa mimi maliyamtu ananitaka kimapenzi kwa mfano lakini sory maliyamtu sio kweli.

Ushauri utakaopata hapo kwa mameni wenzio yani ni mara kumi umgemuomba ushauri shetani

Yani ushauri utakaopata hapo ni zaidi wa shetani, utasikia

Usiache bahati hiyo, mwingine ukimuacha utaonekana hudindishi

Mwingine bahati haiji Mara mbili ohoooo

Mwingine anakwambia bahati hii ningeipata mimi mamaeeee nisingeilazia damu leo leo nakula mzigo Hahahahahahahaha

Wanaume sometimes akili zetu tunazijua wenyewe.
 
wengi wenu wakipendwa, na wakajua kama wamependwa wanakuwa haweshi visa, unaweza jiuliza hivi naishi na mke ama naishi na msela mavi
Hilo tatizo la wanawake walio wengi. Inavyozidi kuongeza upendo anakuona kama boya fulani. Sijawahi pata jibu maana hata humu wengi wanataka mwanaume anayejali ingswa kiukweli hawapendi huko kujali kwenyewe. Wanaume walio wakali na wakati mwingine wakatili ndo wamedumu sana na wake zao. Wakati mwingine inanipelekea kutoa conclusion kwamba ila uishi na mke utatakiwa kuwa harsh.
 
Hahahaa. Na utandawazi huu ni wachache wanaotokea kumpenda mwanaume halafu wakafa na tai shingoni walio wengi wanajifungulia zao.

Na mwisho wake ndio hayo mahusiano hayastawi sababu kiuhalisia hakuna mwanaume anaweza tongozwa na mwanamke halafu akakataa yaani mpaka aonje ile P a p a ndio anaweza sepa asirudi tena.
Nimecheka eti mpaka aonje...
 
Hahaaa. Hivyo tukiwapenda tusifunguke rafiki?
Ya nini kufa na tai shingoni? Halafu utakuta wanawake mnasema yule hakiwa chaguo langu. Hilo chaguo unalipataje kama umempenda mwanaume lakini hana habari na wewe. Ndo concept inakuja ya mke kujiongeza.
 
Hilo tatizo la wanawake walio wengi. Inavyozidi kuongeza upendo anakuona kama boya fulani. Sijawahi pata jibu maana hata humu wengi wanataka mwanaume anayejali ingswa kiukweli hawapendi huko kujali kwenyewe. Wanaume walio wakali na wakati mwingine wakatili ndo wamedumu sana na wake zao. Wakati mwingine inanipelekea kutoa conclusion kwamba ila uishi na mke utatakiwa kuwa harsh.

ila uishi na mke utatakiwa kuwa harsh
.
mkuu kuishi na mwanamke unatakiwa uwe na akili tofauti na ile aliyokukuta nayo, yaani leo mstaarabu, kesho muhuni, leo kauzu, kesho katili kidogo, ndio mtaenda sawa, ukimpa upendo pekeyake atakuona punda yake
 
Back
Top Bottom