masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,382
- 19,290
- Thread starter
-
- #41
Naona leo umeamua masai dada, warekebishe mi nadhani ni laana ya mungu ndo inawaandama ya pale bustanin edeni
We katwe kuongea ni virahisi ya kikukuta utajuta kuna watu wana midomo michafu kama mabomba ya kupitishia maji machafu
inaumiza sana sipendi kumuanika mtu binafsi sipendi inaumiza naamini hapa kujenga urafiki ni rahisi
naamini wanaoanikana walikua marafiki awali jamani
Matola kaka yangu muda mwingine mimi nasemaga sitaki kumjua mwanamke humu AM GLAD simjui hata mmoja si kwa biashara wala nini
maana atakuja kukuaibisha humu aje aseme nimekutana na masai dada ana bonge ya chogo SITAKI KABISA
nakiri nitafanya biashara na kusocialize na wanaume
wanawake sitaki
Kama wananijua basi wamenitafuta wenyewe bila mimi kujua
ki ukwe
i kifo au vifo kama vya kina beti ni vingi sana kama mambo yenyewe ndo hivi yaani unaonesha chuki kabisa hivi huyu mtu ukikutana nae duniani si unaeza mpiga chuma
Sijakuelewa hapa hebu nipe kaufafanuzi kidogo kwa post yako yote sentensi kwa sentensi.
ooh sor nilikua natetemeka
nasema hivi kwa jinsi wadao walivyosema kifo cha beti kilianzia mtandaoni
sasa kwa jinsi mtu navyoonesha chuki ya wazi wazi juu yako je AKIKUONA WAZIWAZI SI ANAEZA AKAKUMALIZA?????
maana hapa ni vile hamuonani ugomvi huo ji mkali je kama mkaonana live si kuna mtu atapelekwa moja kwa moja Kwa si God
naogopa sana
Hapa sasa nimekuelewa. So ugomvi kati ya lala 1 na gfsonwin waweza kuwa mfano mmojawapo?
hapana sio huo
ugomvi mmoja wapo ni wa WEMA na KAJALA
Ila inaonyesha wadada mna maneno sana ndo maana hata mnapokua kwenye groups mnazinguaga sana. Mnatakaga muwe ndo last say hata kama group ni la wengi. Anyway nimetoka kwenye mada but just wanted to say that wadada punguzeni u-much know. Hicho ndo kinawaponza.
sawa tutapunguza asnte kwa ushauri
nadhani na wengine wataona hapa
Aisee kumbe mnasemana.eeeh ...
Hongera dume la mbegu.
Achana nao. Soma threads na ku-Comment pale unapojisikia na yote yaishie hapa.
Niko hapa mwaka wa nne now ila mtu ninayefahamiana naye nje ya hapa ni mmoja tu na tena sijawahi kuonana naye zaidi ya ku-Chat naye WhatsApp kusalimiana siku moja moja basi.