MAKA Jr JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 267 Reaction score 209 Jul 21, 2022 #41 Mtakuwa mmetusaidia sana
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 20,436 Reaction score 38,583 Jul 21, 2022 #42 Fundisho jema sana
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 26,216 Reaction score 71,843 Jul 22, 2022 #43 Michepuko tu ndo wataunga hizi juhudi zako mtoa mada, ila main ni ngumu simu zitakaguliwa kwa sana hutaki jamba
Michepuko tu ndo wataunga hizi juhudi zako mtoa mada, ila main ni ngumu simu zitakaguliwa kwa sana hutaki jamba
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,389 Reaction score 59,151 Jul 22, 2022 #44 π€£ππ€£π€£ππ€£
P peter_intelligent JF-Expert Member Joined Aug 1, 2018 Posts 607 Reaction score 522 Jul 22, 2022 #45 Joanah said: Kama ni mwili mmoja maana yake chake ni chako na chako ni chake Kushika simu sio mbaya Ubaya huwa unakuja unapokutana na yasiyotakiwa kuonekana na ukashindwa ku-mantain peace kwenye ndoa Click to expand... chake ni chako na chako ni chako mwenyewe. alafu ww dada ulinichomoloeaga aiseee, nilitakaga ni kihonge nyumba ila ukapindua
Joanah said: Kama ni mwili mmoja maana yake chake ni chako na chako ni chake Kushika simu sio mbaya Ubaya huwa unakuja unapokutana na yasiyotakiwa kuonekana na ukashindwa ku-mantain peace kwenye ndoa Click to expand... chake ni chako na chako ni chako mwenyewe. alafu ww dada ulinichomoloeaga aiseee, nilitakaga ni kihonge nyumba ila ukapindua
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,850 Jul 22, 2022 #46 Why should we fake our life? [emoji2369] Kama huna maishu Kwanini ukatae Simu yako kufikiwa kwa Uhuru na Mpenzi wako (mkeo)?
Why should we fake our life? [emoji2369] Kama huna maishu Kwanini ukatae Simu yako kufikiwa kwa Uhuru na Mpenzi wako (mkeo)?
Marumeso JF-Expert Member Joined Oct 3, 2009 Posts 1,408 Reaction score 1,334 Jul 24, 2022 Thread starter #47 Rumaiya said: π€£ππ€£π€£ππ€£ View attachment 2299703 Click to expand... nimecheka sana
Pagani Zonda JF-Expert Member Joined Aug 10, 2018 Posts 702 Reaction score 490 Aug 10, 2024 #48 Marumeso said: Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia. Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana! Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua. Click to expand... mimi yaliyonikuta sina hamu. ila kuacha ndiyo siachi kwakweli.
Marumeso said: Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia. Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana! Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua. Click to expand... mimi yaliyonikuta sina hamu. ila kuacha ndiyo siachi kwakweli.