Actually hiyo si kubwa ukiwa uko njema but...my concern is timing.
Day one unapata wapi ujasiri wa kujiachia hivyo?
Atm huishiwa piaHata kama kwa mtu mwenye mshipa wa aibu kuomba hiyo pesa kwa ajili ya kusuka tu ni ngumu.... Ungemwambia atumie yake then utamrudishia, Kuna watu wanadhani wenzao wapo kama atm mashine Muda wowote inatema pesa
Atm huishiwa pia
Baada ya siku moja yakaja maombi mapya kusafiri na flight to...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya siku moja yakaja maombi mapya kusafiri na flight to...[emoji28][emoji28][emoji28]
Nikapiga mahesabu kuwa baada ya mwezi nitauza hadi nyumba
Wapi wewe?Babake hizo zote anazo? Mfyuuuuu
Wapi wewe?
Anataka mabadiliko overnight[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa kama babake hana anapata wapi ujasiri wa kuomba vitu ambavyo hata harufu yake hakuwai isikia popote
Ana kichaa huyoAnataka mabadiliko overnight
Kwasasa karibia wote mko hvyo,mpaka huwa tunajiuliza kabla ya kufahamiana na Mimi hapo mwanzo mlikuwa mnatatua vp shda zenu.Sema baadhi, tuheshimu kidogo we jamaa
Pole sana, shida sio huyo binti, shida ni wewe kurukia rukia mapakashume ambao hawafugiki, mwanamke mwenye akili timamu na maadili hawezi kupata confidence ya kuomba pesa namna hiyo tena on the first day, ukitaka kuenjoy maisha tafuta wa kufanana na wewe bro, hutajutaTunatoa sana, kuna wanawake wanatia aibu sana.
Kuna binti tulitoka out ikiwa ni mara ya kwanza kuonana ana kwa ana.
Tulipata chakula cha jioni/usiku pamoja sehemu tulivu na bora kabisa.
Tukiwa tunapiga stori za hapa na pale akaanza:
1. Baby baada ya siku mbili ni birthday yangu
Anaomba 200k nikasuke
2. Halafu sina kiatu kizuri.
3. Naomba zawadi isiyopungua 300k
4. Sijui nini nini nini...aghhh
Kwa maoni yangu alipaswa kunipa taarifa then aniachie mimi nijiongeze.
Kwa kifupi nilimuona ni fyatu
Nywele zimefumuka rafiki! Baada ya kusoma hii comment😀😀 naomba pesa nikasukeMimi endeleeni tu kuniomba hamna shida
Sharing is caring
Baby, heri ya mwaka mpya 2021Haya
It takes time kupata mtu sahihi, unaposema nilirukia unakosea.Pole sana, shida sio huyo binti, shida ni wewe kurukia rukia mapakashume ambao hawafugiki, mwanamke mwenye akili timamu na maadili hawezi kupata confidence ya kuomba pesa namna hiyo tena on the first day, ukitaka kuenjoy maisha tafuta wa kufanana na wewe bro, hutajuta
Ni sheria ipi Mkuu wangu inayosema Ni lazima me ampe hela ke.kwa mujibu wa komenti yako.Wapo kwa mwamposa kukanyaga mafuta subiri watoke
Ili tubalance hii mada mimi nawashauri pia wanaume wajifunze kutoa hela bila kuombwa[emoji28]
Kwasasa karibia wote mko hvyo,mpaka huwa tunajiuliza kabla ya kufahamiana na Mimi hapo mwanzo mlikuwa mnatatua vp shda zenu.
Ila nazani wengi wamekuwa hv kama kumfaidi mwanaume kabla hajaachwa,maana anaona hata hasipokuwa ombamba bado ataachwa.kwahyo anakula vyake mapema
Roho yangu ipasuka..pwaaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji28]Na kwako pia my darlin